mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,607
- 4,902
Ndiyo maana Mkurya akitendwa anaua ama anajikata mboo kisha anajiua mwenyewe aondokane na matatizo ya dunia.Mapenzi yanaweza Kukuumiza na Usifahamu Wapi panauma.

Mery Christmas to everyone,
Mapenzi yana run dunia sio neno geni miongoni mwetu neno ambalo linatumika mara nyingi kuonyesha nguvu ya mapenzi katika maisha yetu ya kila siku.
Baada ya kusikiliza interview za watu watatu maarufu za hivi karibuni nimeamini mapenzi yana watesa watu wengi sana hata ambao hatuwadhanii kuwa kwenye hali hiyo kutokana na status zao kwenye jamii kama ifuatavyo;
MILLARD AYO: licha ya umaarufu na ukwasi alio nao lakini suala la mapenzi kwake ni changamoto, kama ambavyo alielezea kwenye moja ya interview zake alizo fanya kwamba alikuwa na mchumba wake anaishi mwanza na walikuwa wanakutana kila weekend. MILLARD ilikuwa anasafiri kumfuata mwanza ila alipotea hewani ikawa hapatikani na alipofuatilia watu wa karibu wakamwambia huyo binti ameshaolewa mda, MILLARD anasema ni moja kati ya vitu ambavyo vilimuumiza sana kichwa na alichukuwa mda kukaa sawa kutokana na tukio hilo.
Pia katika tukio jingine alishawahi kumfumania demu wake akiwa na jamaa mwingine live.
MWAKINYO: katika kipindi cha salama alichofanya na mwakinyo ameelezea kwamba kipindi hajawa maarufu alikuwa na mchumba wake,
ambae walipendana sana ila mwakinyo ilikuwa hajajipinga kimaisha demu akaolewa na wenye nazo hiyo hali ilimtesa sana na ndio moja ya vitu vilivyompa mzuka wa kupambana mpaka akatoboa.
ALI KAMWE : huyu ni mchambuzi wa soka katika kituo cha AZAM TV katika moja ya interview yake aliyofanya na shafii dauda hivi karibuni alithibitisha kwamba alishawahi kuachwa na demu na kuolewa na jamaa mwingine hicho kitu anadai hakijatoka kichwani kwake mpaka leo.
Mapenzi ni pesa ila mbona MILLARD ana kila kitu ila mpaka leo mapenzi yanamtesa kweli mapenzi yana run dunia.
N:B vitabu vinasema tuishi nao kwa akili.
Yule dogo aachane tu na suala la mademu, aendelee kujipigia punyeto tu afurahishe roho yake. Mapenzi hayataki wanaume rojorojo kama wa Dar, kitu kidogo tu eti unalia.MTU ROJOROJO KAMA MILLARD AYO SIDHANI KAMA ANA PUMZI ZA KUWAMUDU MADEMU WA MWANZA,HAWATAKI WALA CHIPS WALE MADEMU
Dogo wapiYule dogo aachane tu na suala la mademu, aendelee kujipigia punyeto tu afurahishe roho yake. Mapenzi hayataki wanaume rojorojo kama wa Dar, kitu kidogo tu eti unalia.
kuhusu Mwakinyo umesema uongo, yeye ndiyo alimpa ruhusa aolewe tena kiroho Safi. Hiyo interview hata mm niliiangaliaMery Christmas to everyone,
Mapenzi yana run dunia sio neno geni miongoni mwetu neno ambalo linatumika mara nyingi kuonyesha nguvu ya mapenzi katika maisha yetu ya kila siku.
Baada ya kusikiliza interview za watu watatu maarufu za hivi karibuni nimeamini mapenzi yana watesa watu wengi sana hata ambao hatuwadhanii kuwa kwenye hali hiyo kutokana na status zao kwenye jamii kama ifuatavyo;
MILLARD AYO: licha ya umaarufu na ukwasi alio nao lakini suala la mapenzi kwake ni changamoto, kama ambavyo alielezea kwenye moja ya interview zake alizo fanya kwamba alikuwa na mchumba wake anaishi mwanza na walikuwa wanakutana kila weekend. MILLARD ilikuwa anasafiri kumfuata mwanza ila alipotea hewani ikawa hapatikani na alipofuatilia watu wa karibu wakamwambia huyo binti ameshaolewa mda, MILLARD anasema ni moja kati ya vitu ambavyo vilimuumiza sana kichwa na alichukuwa mda kukaa sawa kutokana na tukio hilo.
Pia katika tukio jingine alishawahi kumfumania demu wake akiwa na jamaa mwingine live.
MWAKINYO: katika kipindi cha salama alichofanya na mwakinyo ameelezea kwamba kipindi hajawa maarufu alikuwa na mchumba wake,
ambae walipendana sana ila mwakinyo ilikuwa hajajipinga kimaisha demu akaolewa na wenye nazo hiyo hali ilimtesa sana na ndio moja ya vitu vilivyompa mzuka wa kupambana mpaka akatoboa.
ALI KAMWE : huyu ni mchambuzi wa soka katika kituo cha AZAM TV katika moja ya interview yake aliyofanya na shafii dauda hivi karibuni alithibitisha kwamba alishawahi kuachwa na demu na kuolewa na jamaa mwingine hicho kitu anadai hakijatoka kichwani kwake mpaka leo.
Mapenzi ni pesa ila mbona MILLARD ana kila kitu ila mpaka leo mapenzi yanamtesa kweli mapenzi yana run dunia.
N:B vitabu vinasema tuishi nao kwa akili.
Kwani wapi nimesema hajampa ruhusa soma title ya thread then niambie hapo ambapo pamekosewa nirekebishe mkuu maana tuna tofautiana uelewakuhusu Mwakinyo umesema uongo, yeye ndiyo alimpa ruhusa aolewe tena kiroho Safi. Hiyo interview hata mm niliiangalia
🤔🤔Kwani wapi nimesema hajampa ruhusa soma title ya thread then niambie hapo ambapo pamekosewa nirekebishe mkuu maana tuna tofautiana uelewa
Waiting.