Mapenzi yamuua Monika, BodaBoda Boko Darajani

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,165
Wana JF,

Juzi kuamkia jana kumetokea ajali mbaya Boko darajani kati ya dereva wa gari dogo na bodaboda, chanzo cha ajali ni dreva wa boda boda kuovatake na kwenda kumbolock mwendesha gari dogo kufuatia maelelekezo ya mteja wake ambaye anaitwa Monika (Mchaga) ambaye alimwambia akimbize pikipiki awahi kumbana mpenzi wake.

Awali ya yote , inasemekana Monika alikuwa na huyu dreva wa gari dogo wakinywa na kufurahia wakiwa baa moja maarufu Kunduchi Beach karibu na Chuo cha kijeshi, baadaye walizozana na kila mtu kukaa peke yake, baada ya saa kadhaa, yule dreva wa gari dogo akaamua kurudi nyumbani kwake Boko.

Inasemekana alionekana kuongea na mtu kwenye simu kama vile wana miadi, Monika kuona hivyo akaanza kumfatilia, ndipo walipofika eneo la darajani Monika akataka kumwonyesha bwana undava kwa kuovertake ili ambane ajue yupo na nani ndani ya gari, hapo ndipo dreva akaongeza mwendo jambo ambalo lilimfanya kuyumba na kuwapalamia na kugonga daraja wapanda pikipiki wakaanguka wote na kusukumizwa mpaka kutumbukia ndani ya daraja.

Tayari dreva bodaboda ashazikwa.
 
Hawa wa hana wote walifanikiwa kufariki na kwa vyovyote mwenye gari hakusimama....huyu aliyetoa haya maelezo inapaswa akamatwe aisaidie police pengine kuna mengine zaidi ya wivu wa kimapenzi
 
Gari lilidumbukia mtoni
 
We mshana jr ,unataka kumkamata dog? Hebu cheki avatar yake. Mwenye thread anaweza kuwa ka-inzi,alikuwa anazunguka kwenye meza yao.
jamaa zetu wa usalama hawachelewi kumsaka mgt software ,awekwe ndani selo,wakimhusisha na ajali. Kazi zingine hata haziumizi akili
 
Dereva amekamatwa?hivi pikipiki unawezaje kumblock mtu anayeendesha gari.siku yao ilifika tu.
 
Zipo sana hizo anakupita kisha anasimama ghafla mbele yako...ni kitendo cha hatari mno
 
Hawa wa hana wote walifanikiwa kufariki na kwa vyovyote mwenye gari hakusimama....huyu aliyetoa haya maelezo inapaswa akamatwe aisaidie police pengine kuna mengine zaidi ya wivu wa kimapenzi
Hii habari ina ukweli na ndio stori iliyoko bila, siku ya tukio asubuhiii yake (alhamisi) nilipitia pale darajani kulikuwepo watu wengi sana wakiangalia uharibifu wa barrier ya darajani na wakieleza alosema mleta uzi.
Nadhani polis wamepata vyanzo vyote vya tukio
 
Asante kwa ufafanuzi jambilo
 
Wana JF,

Juzi kuamkia jana kumetokea ajali mbaya Boko darajani kati ya dereva wa gari dogo na bodaboda, chanzo cha ajali ni dreva wa boda boda kuovatake na kwenda kumbolock mwendesha gari dogo kufuatia maelelekezo ya mteja wake ambaye anaitwa Monika (Mchaga) ambaye alimwambia akimbize pikipiki awahi kumbana mpenzi wake. Awali ya yote , inasemekana Monika alikuwa na huyu dreva wa gari dogo wakinywa na kufurahia wakiwa baa moja maarufu kunduchi beach karibu na Chuo cha kijeshi, baadaye walizozana na kila mtu kukaa peke yake, baada ya saa kadhaa, yule dreva wa gari dogo akaamua kurudi nyumbani kwake boko, inasemekana alionekana kuongea na mtu kwenye simu kama vile wana miadi, Monika kuona hivyo akaanza kumfatilia, ndipo walipofika eneo la darajani monika akataka kumwonyesha bwana undava kwa kuovertake ili ambane ajue yupo na nani ndani ya gari hapo ndipo dreva akaongeza mwendo jambo ambalo lilimfanya kuyumba na kuwapalamia na kugonga daraja wapanda pikipiki wakaanguka wote na kusukumizwa mpaka kutumbukia ndani ya daraja. Tayari dreva bodaboda ashazikwa.
Nimeona hapo mahali hadi mavyuma ya pembeni ya daraja yameng'oka na leo tumepishana na maiti ya bodaboda inaongozwa na boda boda wenzake,hapo ndio unajua ujinga wa madereva wa bodaboda ,anaamurishwa kuhatarisha maisha yake nae anakubali.
 
Hizi 'K' jamani lol...
Masikini Monica.
 
Attachments

  • DSC06062.JPG
    DSC06062.JPG
    22.6 KB · Views: 174
Wana JF,

Juzi kuamkia jana kumetokea ajali mbaya Boko darajani kati ya dereva wa gari dogo na bodaboda, chanzo cha ajali ni dreva wa boda boda kuovatake na kwenda kumbolock mwendesha gari dogo kufuatia maelelekezo ya mteja wake ambaye anaitwa Monika (Mchaga) ambaye alimwambia akimbize pikipiki awahi kumbana mpenzi wake. Awali ya yote , inasemekana Monika alikuwa na huyu dreva wa gari dogo wakinywa na kufurahia wakiwa baa moja maarufu kunduchi beach karibu na Chuo cha kijeshi, baadaye walizozana na kila mtu kukaa peke yake, baada ya saa kadhaa, yule dreva wa gari dogo akaamua kurudi nyumbani kwake boko, inasemekana alionekana kuongea na mtu kwenye simu kama vile wana miadi, Monika kuona hivyo akaanza kumfatilia, ndipo walipofika eneo la darajani monika akataka kumwonyesha bwana undava kwa kuovertake ili ambane ajue yupo na nani ndani ya gari hapo ndipo dreva akaongeza mwendo jambo ambalo lilimfanya kuyumba na kuwapalamia na kugonga daraja wapanda pikipiki wakaanguka wote na kusukumizwa mpaka kutumbukia ndani ya daraja. Tayari dreva bodaboda ashazikwa.
Hivi kulikuwa na umuhimu wa kuweka (UCHAGGA)ktk post yako MKUU?.
 
Back
Top Bottom