Mapenzi yamenichosha roho

Mapenzi yamenichosha roho

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,043
Reaction score
61,360
Nilichogundua wanawake hawatupendi Tena sisi viumbe wa TMK(WANAUME)..wanachoangalia Ni pesa.kwanini Sasa niendelee kuteseka wakati ufutio ninao Mimi mwanaume,Nina mamlaka tosha ishu Sasa hivi niliyogundua ni kugonga na kupita..mi mwenzenu Mara ya kwanza nilijua bado buku Ina nguvu kwa Hali ngumu ya Sasa kumbe wanawake wenyewe Hawa wanataka 50000.ukimpa buku tano unaachwa labda aendelee tu kukuvumilia kisela.we jiulize mke wa mtu Hana hata aibu anasema kauli Kama hizi "mapenzi ilikuwa zamani bwana!me nikipata buzi pembeni la kukazia ndoa fresh tu namtunuku Kisha naenda kuoga narudi nyumbani mume wangu atajuaje"mlio kwenye ndoa poleni Sana nahisi ndoa ni jehanam ndogo kwa Moto mnaoupata.mimi sijaoa Nina demu ila anavyonipeleka mbio huyo najua mwenyewe
 
Hata mimi ningekuwa mwanaume ningefanya kama wewe

Ulichoandika sio kwa wanawake tu..hata wanaume walio katika ndoa ni tatizo
Unakuta mwanaume umri umeenda yupo katika ndoa ila bado anamtaka binti ambaye analingana umri na mwanae
 
Ndugu ulichoongea ni kweli kwa asilimia 65% ila zinazobaki zinaweza kuwa against ya ulichoingea ! Maana kuna wengine wachache wameingia kwenye ndoa na wanafurahia pia wanamapenzi ya kweli ingawa ni wachache sana.kuchepuka ndio kunachagizwa ma mambo uliyoyataja kwa kiasi kikubwa ila pia muda mwingine kuna sababu nyingine zaidi ya hizo.inaweza kuwa kwenye ndoa na ukatulia na ukawa singo usitulie means bado ukasumbuliwa na hao wa one night stand also vise versa is true. So kuna upande nakuunga mkono ila kuna upande nakupinga.kikubwa kila mmoja aishi vile anaona itamfaa na atafurahia maisha.ndio maana nataka population ya dunia tokea zama za manabii siyo watu wote walioa au kuolewa na haitotokea kamwe.so kikubwa ni kuishi upenfavyo bila kuathiri jamii au kuvunja sheria !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana... muda mwingine hupaswi kuendekeza mtu... fanya unaloweza, usiloweza mwambie asubiri...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom