Pole sana sana Dada. Pole sana. Naomba uje inbox tunaweza kuongea mambo mawili matatu.
Pole sana dear.... Pole sana Mwanamke mwenzangu. Pole Pole dear... Hakika inaumiza sana.
Very true, wakiwa na pesa wana viburi kweli. Wakiishiwa ndio wanajifanya kuwa na adabu.Ukiona mwanaume anatulia na mwanamke mmoja, ujue uchumi wake umeyumba.
Pole.
Wanandoa wengi wenye huu ugonjwa asilimia kubwa wanaume ndio wanaouleta ndani.
It is soo sad kwakweli.machozi hapa yananitoka aisee!
Heaven Sent
MBITIYAZA
Nalendwa
Mkuje mwanamke mwenzetu anahitaji ushauri huku, mie bado nina hasira.