mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
(ANGALIZO HII NI STORY YA KWELI) ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa tisa mnamo saa tatu na nusu usiku taraitibu napiga hatua kuelekea nyumbani mara ghafla simu ikaitwa kuangalia ni ya dada yangu aliyepo morogoro, nikapokea kwa furaha maana sijawahi kuwasiliana kwa muda murefu, maskini kuona tu dada anaongea kinyonge furaha ikaniisha ghafla, kumsikiliza ndo akaniambia habari za kuhuzunisha kuwa mdogo wangu amekutwa amekufa.
ninayemwongela hakuwa mdogo wangu tumbo moja bali alikuwa mtoto wa kwanza wa mama yangu mdogo anayeishi huko kigurunyembe morogoro. baba wa mdogo wangu huyo alifariki miaka mingi iliyopita hivyo mama yangu mdogo ndo alihangaika kuhakikisha mtoto wake anapata mahitaji yake yote ya msingi ikiwepo elimu. mdogo wangu huyo mauti yalimfika huku zikiwa zimebaki siku tatu kuriport chuo cha mzumbe tawi la mbeya alikokuwa amechaguliwa kusomea masomo ya sheria kwa ngazi ya degree.
MAZINGIRA YA KIFO
mdogo wangu siku ya tukio aliaga anaenda kwa bibi yake kuchukua baadhi ya mahitaji kwa ajiri ya safari ya kwenda chuoni, inavyosemekana alipokuwa akirudi ndipo alipotekwa na vijana ambao hatujui idadi yao na kwenda kumuua na kisha kumtupa barabarani.
KWA NINI ALIUWAWA
Inavyosemekana mdogo wangu alikuwa ana uhusiano na binti mmjoa lakini baba yake kumbe hakufurahishwa na uhusiano huo wa mwanawe na mdogo wangu huyo hivyo basi akaamua kumtumia vijana ili wayatekeleze mauaji yale
NANI ANATUHUMIWA
mtuhumiwa wa mauaji yale bila kuficha ni ni DIWANI MMOJA KATA NIMESAHAU PALE MOROGORO MJINI AMBAYE NIMEFANIKIWA KUTAJIWA JINA LAKE MOJA ANAITWA KIMARO ( KWA WALE WAKAZI WA MOROGORO WATAKUWA WANAMFAHAMU HUYU)
JE KESI INAENDELEAJE
Baada ya kutuhumiwa kwa haya mauaji huyu diwani alikamatwa lakini aliachiwa baada ya muda mfupi bila sababu maalum, ndugu zangu waliopo morogoro walipojaribu kuhoji walipewa vitisho na askari polisi hivyo basi kama familia walikaa kikako wakaamua wamwachie mungu maana wao kama wao hawakuwa na uwezo wa kushindana kipesa na diwani huyo ambaye inasadikika alitumia pesa kutoka
KWA NINI ATUHUMIWE DIWANI KIMARO
diwani huyo alituhumiwa baada ya kutajwa na wale vijana ambao wanasemekana walitekeleza mauaji hayo, kumbuka damu ya mtu ni nzito maana siku ile ile ya msiba kuna kijana alikuja kufuatilia mauaji waliyoyafanya, kijana huyo alikamatwa na akawataja wenzie ambao kwa pamoja walimtaja diwani kimaro.
HIVYO NDIVYO MAPENZI YALIVYOMTOA UHAI MDOGO WANGU, BABA WA BINTI KWA SABABU ALIKUWA HAMTAKI MDOGO WANGU NDO AKAAMUA AMTUMIE WAUAJI AMBAO BILA WOGA WALIMUUA NA KUMTUPA BARABARANI
MUNGU AMLAZE MDOGO WANGU HUYO MAHALA PEMA PEPONI AMENI

Nashukuru mkuu kwa mchango wako pia naomba nikusahihishe kidogo ni kuwa mwili wa marehemu uliokotwa siku iliyofuatwa wakaitwa polisi kisha akaitwa mama wa mtoto ukatambuliwa kisha tukauzika wenyeweNikupe pole sana mkuu, najaribu kukumbuka akili inaniambia hii kitu ilitokea mwaka juzi, wakazi wote wa kigurunyembe na bong'ora wanajua A - Z ya mkasa huu, maana hata mimi niliambiwa kilichotokea nilivyorudi weekend mapumzikoni nyumbani.
KUTOKA KWA BIBI
Niweke ufafanuzi zaidi wa kilichotokea siku ya tukio, Marehemu alitoka kwa bibi yake akiaga anaenda town fanya shopping (ya kwenda chuo), hakwenda kwanza shopping, alienda kwao na girlfriend wake mkazi wa kigurunyembe pia (less than a kilometer kutoka kwa bibi yake), ilikuwa jioni na nadhani hakuwa hata na mpango wa kwenda shopping siku hiyo hiyo as it was late tayari.
MAUTI YALIVYOMKUTA
Inside the house walikuwa watu wawili tu, girlfriend na Marehemu. Sasa alivyorudi baba mzazi wa girlfriend akiwa na kaka wa girlfriend ndio utata ulianza, walifunga milango yote ya nyumba na kudhibiti funguo, walimfunga Marehemu kamba na kuanza kumtesa. kelele zilisikika kwa majirani (ila no one bothered), ilifikia kipindi Marahemu alikuwa anapiga kelele msiniue msiniue but they never cared, ikafika hatamu akawa hapigi kelele, majirani walianza sikia sauti ya girlfriend akiomba boyfriend wake asiuliwe, haikufua dafu, baba na kijana wake waliendelea mtesa marehemu hadi walivyompiga na kitu kizito kichwani ikawa ndio mwisho wa maisha yake.
KUTELEKEZWA MWILI WA MAREHEMU
Giza lilikuwa lishaingia muda huo, walichofanya ni kuita dereva pikipiki, wakampakia marehemu huku akishikiliwa na kaka wa girlfriend na kwenda kuutelekeza mwili wa marehemu katika viwanja vya shule ya sekondari ya st. Peters (not more than 1.5kilometer toka eneo la tukio).
KUGUNDULIWA MWILI WA MAREHEMU
Nyumbani kwa bibi hawakumuona marehemu usiku huo akirudi home (nadhani kuwa na ndugu wengi wa karibu hakukuwapa hofu yeyote), hadi kesho yake jioni mwili wa marehemu ulipogunduliwa na wanafunzi wa st. Peters waliokuwa wameenda uwanja wa mpira kwa ajiri ya michezo ya kila jioni.
All in everyones mind kwa haraka haraka waliassume marehemu aliporwa ela na kuuawa as alikuwa na zaidi ya laki sita alizopewa na bibi, wakaamua kumzika kesho yake. Up to that point hakuna mtu aliyejitokeza kusema lolote juu ya kilichotokea.
UPELELEZI WA POLISI
ilikuwa kazi rahisi sana kumpata mtuhumiwa, polisi waliwasiliana na tigo, wakapata namba ya mwisho marehemu kuwasiliana nayo, wakamtafuta muhusika kwa ajiri ya mahojiano, muhusika ambaye ni girlfriend wa marehemu alionyesha ushirikiano ambao haukutegemewa kwa kuwapa polisi full data ya kilichotokea.
MUUAJI KUKAMATWA
Hii ilipelekea baba wa girlfriend kukamatwa kwa ajiri ya mahojiano ( akiwa prime suspect), alihojiwa na akakubali alichokitenda, siku mbili/tatu baada ya kuhojiwa alihojiwa tena na akakana kila kitu, ilikuwa kazi ngumu kumconvice binti kukana maelezo yake, lakini naye alikuja kana (nadhani alibananishwa na family members or alitishiwa maisha pia ikabidi a-surrender), ikawa ndio mwisho wa kesi.
BAADA YA TUKIO
Yakabaki maneno mtaani, baba wa girlfriend akapotea for some time mtaani, dereva wa boda boda naye akapotea mtaani for sometime pia, familia ya girlfriend ikabadili njia na kuanza kuzunguka as njia rahisi kufika kwao ilikuwa ni kupita kwa bibi wa marehemu (nyumba yake ipo barabarani)
HINTS:
- Hii inatosha kwa leo. Huu ndio ukweli wa mkasa huu, si kwamba marehemu aliuawa na watu waliokodiwa but aliuawa na baba wa girlfriend wake.
- Bibi alumuachia Mungu kesi hii, si kwamba baba wa girlfriend ana hela au uwezo zaidi ya bibi, naamini huyu bibi is much wealthier than baba wa marehemu, ila bibi ali-let it go, hakutaka mambo ya kesi.
- Kigurunyembe ni mtaa ambao watu wake wanaushirikiano wa kimafungu, nyumba ya hii ina ushirikiano wa karibu na nyumba ya saba, nyumba ya kumi, n.k ndio maana hadi marehemu anazikwa no one knew the truth even when majirani wa girlfriend walisikia mikiki mikiki yote
- Girlfriend yupo chuo pia, bado hajamaliza mwaka wa pili, ilikuwa waingie wote chuo na marehemu though vyuo tofauti.