Mapenzi yaliniumiza mpaka nikarudi shule

Nilikutana nae akaanza kunihadithia changa moto za ndoa yake...mm nikampa pole nikamwanbia nipo chuo fulani aliumia na alijuta akaniambia kama angejua angenishaur nirud shule na anisubir. Maana ameoa lkn kama hajaoa
Kuwa makini. Alikueleza changamoto za ndoa yake kama njia ya kukupooza tu. Kwa Mantiki hiyo, hana huruma. Na ninakuhakikishia kama ulimpa contact zako atakutafuta akutafune tu just kwa ulafi na si kama anakupenda. Kama alikuwa anakupenda angekushauri uendae shule na akulipie ada. Akupe condition kuwa ili akuoe ni lazima asome kwa bidii ili uwe mke wake msomi. Kitendo cha kukatia mawasiliano ghafla ni cha kinyama na ninakuhakikishia alikuwa na mtu tayari hata kama siyo huyo aliyemuoa. Watch out.
 
Njoo na wewe unipe maneno yashombo na mimi nirudi shule aiseee
 
Nilikutana nae akaanza kunihadithia changa moto za ndoa yake...mm nikampa pole nikamwanbia nipo chuo fulani aliumia na alijuta akaniambia kama angejua angenishaur nirud shule na anisubir. Maana ameoa lkn kama hajaoa
Every Man would tell you the same story! Hakunaga mume akutake akwambie ndoa yake iko stable, never
 
what you say may be its true. but I have already opened the doors to another relationship. Although I still need time to get to know each other better

οΏΌ

Jimbo liko na mgombea ambaye bado hajapitishwa rasmi.

In the other language, applications are allowed.
 
Hii mbinu huwa ni nzuri sana kwangu binafsi yaani MTU akikuumiza,akikudharau ama akakutukana huwa ni stepping stone kwangu binafsi kusonga mbele mbeleni.
Nina ushuhuda kwa maisha yangu mengi sana ndo huwa nasogeaga kwa dizaini iyo.
So huwa napenda nikae na wanaonidharau
 
Pm vipi tuingie? πŸ•΅οΈ
 
Kuhusu kumsomesha hakuna kitu kama hicho wewe,mabaharia tulishakubaliana kuwa mchumba HASOMESHWI.wengi wamelizwa.
 

Jamaa alikuwa baharia kitambo Sana.
Mambo ya kusomesha mchumba hayapo!
 
Acheni chai basi, ulikua huoni faida yoyote ya kusoma, yani mapenz ndio yakufanye usome hadi chuo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…