Kaka TumainEl zamani usinge andika hivi.Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
AminaNikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
Vp kuhusu ile barua uliyosema itasomwa na kushangaza wengi na wengine kuzimia?Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
Mkeka ushachanika, born town kashawazidi kete tuendelee kuomba Mungu tu tukisubiri 2030 😒V
Vp kuhusu ile barua uliyosema itasomwa na kushangaza wengi na wengine kuzimia?
Inaonekana walitangulia kutangaza mipango yao hadharani, wakasahau kuwa watu wako busy tangu 1995 kutengeza ufalme wao.....Mkeka ushachanika, born town kashawazidi kete tuendelee kuomba Mungu tu tukisubiri 2030 😒
Sawa nenda kadai usione watu ukadhani ni kama wewe jaribu tupo kukuangaliaDini na imani zimewaharibu sana watanzania na kuwafanya kuwa na nidhamu za uoga na washindwe kuwajibika hata katika mambo ya msingi kama kudai haki zao.
Sawa anza wewe kama mwanaume ila sisi tupo pembeni kukuangalia nakurudia Mapenz ya Mungu yatimie kama vile kule mbinguni. AmenUsinwachie Mungu jambo unaloweza kufanya wewe mwenyewe. Mnakwama wapi? Mmezidiwa ujanja,?
Mission accomplished!Kaka TumainEl zamani usinge andika hivi.