Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama mbinguni

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,266
Reaction score
14,274
Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.

Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
 
Kaka TumainEl zamani usinge andika hivi.
 
Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.

Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
Amina
 
V

Vp kuhusu ile barua uliyosema itasomwa na kushangaza wengi na wengine kuzimia?
 
Mkeka ushachanika, born town kashawazidi kete tuendelee kuomba Mungu tu tukisubiri 2030 😒
Inaonekana walitangulia kutangaza mipango yao hadharani, wakasahau kuwa watu wako busy tangu 1995 kutengeza ufalme wao.....

Wakasahau, walipofanikiwa mwanzo, ni kwasababu waliotaka ndo waliojiunda tangu 1995.

Kama PGI tu asali mwa mwa mwa...unadhani waliobaki wakoje? Na nani anaelewa hata maana ya uzalendo mbele ya ULAFI wao?

Kama mmeshakubali matokeo, tumsubiri tu MWANA WA ADAMU arejee....hakika tumekuwa mang'ombe kamili.
 
Kutoka karatasi ya SIRI mpaka ..... oya basi ngoja tumwachie Mungu. Familia za kifalme / kisultani zilizojichimbia hapa nchini zitatawala milele kwa msaada wa machawa!
 
Back
Top Bottom