Hi guys,
Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish
Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.