Mapenzi ya uongo?


Ni mpenzi, sema jamaa anataka kukula asepe! Binti ana msimamo! Nimempenda bure
Hapana sio kihivo mi hata nikimla sio mwisho wa mapenzi yetu, japo sikutaka kuweka moyo wangu wote kwake isije akawa hanipendi halafu aondoke nao niachiwe mabua.

Usijaribu kiachwa na uliye mpenda halafu yeye alikuchukulia poa utajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom