yuda75
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 520
- 1,403
Mapenzi mazuri lazima mwanaume uwe na kamba kamba ujanja janjaa mana kwa hali ya sasa ukiwaweka wazi dada zetu kwa kila kituu ataishia kupiga punyeto
Lazima ujitutumue kama mwanaume uwe unachaneli za kweli au za kijanja janjaa hata ukilala njaa mpenzi akikuliza umekula nini mwambie kuku nusu na ugali akikuliza baby uko wapi unafungulia redio kwanguvu mwambie upo sehemu unapata soda maji au mvinyo ila soon.
Narudi ili asitake kujaaa
Mapenzi ujanja tu

Duh Kaz ipo