Nani mwanzilishi wa huo mchanganyo?Kuchanganya mapenzi na pesa ndio kumeharibu uhalisia wa utamu wa mapenzi...
Kuna mawili kukutumia na kumpoteza...Na kwanini pesa ichukue nafasi ktk mapenzi? Mimi huwa nashangaa sana wanawake wenzangu wanapotanguliza pesa ktk kuanzisha/kuendelea kimahusiano na mwanaume.
Halafu mwanaume anayekupa pesa kwa mashinikizo ya kudumisha penzi wala hakupendi, wanawake wenzangu mnafeli sana.
Mkiweka pesa mbele mnawakosa wanaume bora, ambao msingetanguliza tamaa mngekula mema ya nchi kivulini.
Mwanaume bora ukiweka tamaa ya pesa mbele unampoteza!
Sasa kukutumia si ndiko kumpoteza huko? Mwanaume anayekupenda kweli hakutumii.Kuna mawili kukutumia na kumpoteza...
Hongera mkuuMapenzi ya wengi siku hizi ni biashara. Unanunua bidhaa...unaitumia utakavyo...unaridhika. Ikikukinai au ukiona imeanza kuchakaa unatafuta bidhaa mpya na bora zaidi...na maisha yanaendelea.
Ila bado wapo mabinti wachache ambao wanajitambua ambao kweli akikupenda anakuwa amekupenda. Ukimbahatisha wa hivyo aisee mshike sana. Mimi nimebahatisha wa hivyo. Nina bahati sana! [emoji1545][emoji3590]
Jimbo gani?Marekani ni ngumu mno kumgonga demu bila jiwe Tatu
Mungu ni mwema Mama MchungajiHongera mkuu
Mungu ni mwema Mama Mchungaji
Umenikumbusha mbali ndugu yangu................Miaka hiyo nipo kijana bado Niko na nguvu zangu niliwahi nunua CHUDDA mmoja maeneo ya magomeni nikaenda kubanjuka naye lodge, asubuhi kulipokucha namuaga nisepe zangu nawahi usafiri wa kuelekea Mwanza, nampa hela yake akanambia hela yako kaa nayo isipokuwa ninakuomba sana nipe namba yako ya simu....nikampa namba nikaondoka.
Kwenye kuchati naye akanambia ananiomba tuwe wapenzi wa kudumu.......nilipohoji juu ya ombi lake akafafanua hivi;
Kuna nyakati ambazo hata Malaya anayejiuza huwa anapata nyeggge na mshawasha wa asilia kutaka kupigwa miti, hii ni tofauti sana na ile ya kugongwa kwaajili ya kuipatia fedha (kipato).
Kwahiyo point yake ilikuwa akiwa na nyeggge za asilia ananipigia tunakutana namkuna weeee akitosheka kila mmoja anashika njia yake.....
Tulienda enda hivo kiaina baadaye akaanza kuleta mambo ya wivu uliovuka mipaka nikampotezea, japo alikuwa chuma Cha maana halafu fundi kwelikweli.....anamwaga maji ova Bomba la Ruvu chini limepasuka shuka chepechepe.
Pesa ikitangulizwa sana mbele ladha ya penzi inapotea.
Una point katika hili.
Mtaalam mwenyewe🤣🤣Miaka hiyo nipo kijana bado Niko na nguvu zangu niliwahi nunua CHUDDA mmoja maeneo ya magomeni nikaenda kubanjuka naye lodge, asubuhi kulipokucha namuaga nisepe zangu nawahi usafiri wa kuelekea Mwanza, nampa hela yake akanambia hela yako kaa nayo isipokuwa ninakuomba sana nipe namba yako ya simu....nikampa namba nikaondoka.