[emoji848] [emoji848] Nataka uwe Kiongozi wangu maana una Uzoefu.
Halafu hukuwahi kunimalizia ile Story ya BWM.Hahahhahahahahaa Kasie ni shiideer.
Kasie i miss you so much[emoji7][emoji11][emoji8][emoji9][emoji173]
Wapi? MMU
Kumjulisha nini? kuwa unampenda sana
Satan himself.Nimejitahidi kutafuta hiyo raha ya mapenzi ya mtandaoni, sijafanikiwa kupata. Mkuu hii habari sijui imekaaje, au mimi mgumu kuelewa?
Halafu hukuwahi kunimalizia ile Story ya BWM.
Dah huwa sipendi utani kwenye hizo Mada napenda sana kujua mambo ya Sirini.Hahahahahhahahaaa bado unakumbuka?
BMW na Kasie ni zipu na suruale.
Usijali ntaianzishia uzi kabisaaaa.
HahahaHah bado sana tu; umri huu ndo sasa wa ku-enjoy hayo majamboz kwa sababu woga ulishaisha. Kila kitu ni kama zilipendwa. Hata nikimpigia simu nikamwambia "zilipendwa hujambo"? anacheka then anajibu kawaida.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuuu hiyo Lodge yenye rula vyumbani iko mitaa gani huko kwa Makonda au ile rula ya kupima samaki Bungeni uliondoka nayo Idodomya mjengoni.
We mnyamwezi njoo uchaganiSo many times, but.......
I'll be the last one to give my testimony.
Mchezo mmoja hivi wa kamari.Ndo nini hiyo?
Ndo nini hiyo?
Gari kali lile na inaonekana lina fujo sana Barabarani.Kuna uzi mmoja ulianzishwa zamani kidogo wa BMW nikawaambia vile nazimia hayo magari na nikaweka picha ya BMW nililopewa zawadi na mahabat wangu na kamkono ka Kasie kakawa kanaonekana.
Sasa kuna kastori nyuma yake.
Dah huwa sipendi utani kwenye hizo Mada napenda sana kujua mambo ya Sirini.
Uje uniambie hata kimoyomoyo basi.
Kwa umri huu ukimpa ahadi ya kukumbushia ukamwambia afike saa moja jioni - anafika saa 11 ili umkute tayari kaishachangamka.Hahaha
Asante.Hahahahahahaa usihofu, ntakunong'oneza.
We mnyamwezi njoo uchagani