Mapenzi ya mtandaoni ... raha!

Umekosea banaa, Kasie ni mwanamke Marbury Mahaba Muda wote jumatatu jumapili January december Mahaba mia mia tena Mahaba Matata.

By the way, ungesema na kitambulisho chako cha zamani ningekupa busu.
Hiyo busu nipe mie
 
Nakupenda najua unavyonipenda kasie.
Daima nitakupenda mrembo wanguu
 
Enzi zile unachat na yahoo messenger ukibahatika kumpata mdada wa boarding huko basi kijamaa kinasimama kinarukarukaa mnapeana ahadi akifunga shule tu unakuwa unamsubiri ubungo
Nakumbuka tulikutana kwenye mtandao wa kijamii ulikuwa unaitwa darhowire.com sijui bado upo.
 
And I’ll be the penultimate one to give my testimony....

Hahahahhahahahahahahah to gather forever...
They name it ukinyanyua mguu naweka wangu, began kwa bega.

You say, Before me.... I say After you.
 
Nimejitahidi kutafuta hiyo raha ya mapenzi ya mtandaoni, sijafanikiwa kupata. Mkuu hii habari sijui imekaaje, au mimi mgumu kuelewa?
more concentration needed.....keep going
 
Nakumbuka ilikuwa tarehe 27 Dec. tulitoka kwenda mjini kati kutembea, tukiwa stand tukisubiria daladala alinambia kitu ambacho kilikuwa kama mchezo wa kuigiza.

Alinambia nimempata bila kumtongoza, hivyo akanambia nimtongoze vinginevyo haturudi wote hotelini. Nikamwambia anipe kama dak 15 ndo nitaanza kumtongoza ...

Daladala ilipokuja tukapanda na kukaa siti moja (ya watu watatu). Hapo hapo nikamsalimia ..
Dada habari za leo ... akajibu, unaelekea wapi? ... akanikemea .. we unauliza maswali gani hayo.. hapo hapo nikaendelea kumsemesha ...tulipofika mnazi mmoja akasema anashuka hapo ... nami nikamwambia hata mimi nashuka hapo ... kwenye kulipa nauli sasa .. nikamwomba anilipie kwa sababu mimi sina hela .. nilipanda lile gari kwa sababu yeye alipanda...
Ah! Konda alinitukana ... abiria wakazomea ... binti wa watu akasema kwa upole "pole nakulipia lakini usinifuatefuate"
Mara abiria wakaropoka ... wasanii hao!
 
Wew mbabu mwaga story ikawaje .uyo binti ajawa bibi yang
 
Wew mbabu mwaga story ikawaje .uyo binti ajawa bibi yang
Hah bado sana tu; umri huu ndo sasa wa ku-enjoy hayo majamboz kwa sababu woga ulishaisha. Kila kitu ni kama zilipendwa. Hata nikimpigia simu nikamwambia "zilipendwa hujambo"? anacheka then anajibu kawaida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…