Mapenzi ya mtandaoni ... raha!

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Sikujua kuwa mapenzi ya mtandaoni yana raha yake ...
Nilianza kuchart na mwanamke akiwa USA, (Mtanzania). Tuliwasiliana kwa kipindi cha kama miezi sita hivi. Ilipofika mwisho wa mwaka alinijulisha kuwa atakuja rikizo nchini Tanzania. Hivyo tulipanga wapi tuonane ili tufahamiane zaidi.

Jambo la kwanza siku zilipokuwa zinakaribia, nilijawa na woga. Ila baadaye nikajiondolea wasiwasi na kusafiri hadi jijini Dar. Yeye aliingia Dar tar. 24 December, mimi nikatia timu tare. 26 Dec. So tulispend siku saba mfurulizo tukiwa hotelini tunakula raha.

Nilichokiona kwake na ambacho siwezi kukisahau!
Alikuwa na vituko kwenye 6x6, kituko ambacho siwezi kukisahau ni kuchezea dick yangu na baadaye kuchukua rula kuona ina urefu gani.
Wewe je uliwahi kuanzisha mahusiano mtandaoni?
 
Mkuuu hiyo Lodge yenye rula vyumbani iko mitaa gani huko kwa Makonda au ile rula ya kupima samaki Bungeni uliondoka nayo Idodomya mjengoni.
Rula haikuwa hotelini, aliinunua tukiwa town nilipomuuliza akanijibu kuwa ana kazi nayo; sikujali... muda na wakati ulipofika wakati wa mpapasano nilishtukia ghafla anafungua mkoba na kutoa rula, then nikasikia anasema safi sana!
 
Fall in love with a person who enjoy your madness not an idiot who force you to be normal...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…