Mapenzi ya mbali

Hii kauli huwa inaifanya niwe nakumbuka usemi wa jamaa yangu mmoja ambaye huwa anadai anaenda kumsalimia mchumbake wakati anadai kila siku huwa wanasalimiana kwa simu!

ni naniliu hiyo , mpaka a rightclick
 


Tangu huo mwaka na hizo sehemu ulizozitaja ulikuwa unaishije???? au umechoka kuonja onja? na kama umechoka amua kuoa kila unapoenda unaenda nae.
 



Ni kweli hayuko serious hyo, wangapi wana wapenzi wao nchi za nje na bado wanawasiliana na kutembeleana kama kawaida ushauri wako mzuri sana kaka! nimeupenda sanaaaaaaa!
 



Kaka mi naona hauko sirias kabisaa na pia ninavyoona mm haujapenda ww! ukipata mtu unaempenda hakika haitasumbua, lakini kama ni kwa tamaa zako za muda utaishia hivyo hivyo! sorry kama nimekukwaza
 
....Yanahitaji moyo sana na discipline ya hali ya juu. Kama unaweza kwenda naye basi fanya hivyo vinginevyo unaweza kumpoteza mwingine...ukabaki unalalama "yamekuwa yaleyale" ya kuendelea kupoteza wapenzi.

Na hiyo mihangaiko yako ya huku na kule inabidi uifanyie mikakati ili kama inawezekana utulie mahali pamoja badala ya kuwa mfunga virago kila baada ya muda mfupi.


 
jitwishe mzaz...dah ungekuwa dereva wa malori ya masafa wewe ungepata pressure..
 

You hit the point..
 
magonjwa mengi utamuua mwenzio.

wee doubel K tulia bana magonjwa yapo lakini utayanasa kama wewe unaendekeza mambo ya kujidanganya kuwa eti ataji save for u while u away....sex is addictive ujue ukisepa mwenzio atatafuta wakumpa raha. sasa bora utumie condom na kamatia pale ulipo
 

ni ushauri mzuri ila inategemea na huyo mpenzi mwenyewe kwani wengine waongo unapo kuwa mbali
 
Unajua kijana distance.sio reason Ww mwenywe tu vip uta handle situation mkuu,,sawa ?
 

fanya mpango uhame nae kama unampenda,hiyo ndo dawa.
 

Angalau nimejifunza kitu. Asanteni sana kwa ushaur na mawazo mazuri
 
wee doubel K tulia bana magonjwa yapo lakini utayanasa kama wewe unaendekeza mambo ya kujidanganya kuwa eti ataji save for u while u away....sex is addictive ujue ukisepa mwenzio atatafuta wakumpa raha. sasa bora utumie condom na kamatia pale ulipo

Mzabzab wewe sasa si bora aoe tu. kuna kujisahau kila siku na condom mmmmmmmm sidhani.
 
Mzabzab wewe sasa si bora aoe tu. kuna kujisahau kila siku na condom mmmmmmmm sidhani.

double k nakubaliana na wewe kuwa ukiwa kwenye uhusiano ipo siku condom utaiweka pembeni na kuonja utamu halisi lol....ndio maana mie nashauri vijana wawe wanaonja K tofauti ikiwezekana kamatia malaya tuu maana hapo utahakikisha kuwa full kutumia condom....BUT THIS SHOULD ONLY BE PRACTICED BY THOSE THAT JUST WANT SEX..NOTHING MORE NOTHING LESS
 
Tafuta ambaye utakuwa unasafiri naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…