Mapenzi ya mahandsome

Wewe ndiyo, hovyo uhandsome wa mume siyo sura, wenye sura wengi mashoga, mwanaume handsome kwa suruali(pesa na mashine plus urijali). Mwanaume/kidume halisifiwi au kujinadi kwa sura.
 
Hakuna sijawahi kutemwa wala mtu akiniziriaga basi sina shida namuukiza akinitolea nje si basii sio lazima upendwe nakila mwanaume kunawadislike na wanaolike hayo ndio maisha eti sio ulazimishe penzi kisa ni handsome.
Eti kutemwa, utakuwa zero mind!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…