Mapenzi ya mahandsome

Tafta mtu mnaeendana sio tu kisa kakutongoza na umeona hb unapiga vigeregere, HB nae anapenda demu mzuri, kama sio mzuri we utakua kwa matumizi ya kawaida, ukiona sio typ yako jikatae utaumia buree
 
Itakuwa unawapenda sana mahandsome ila wao hawakupendi
 
Mimi handsome najijua lakini nimetulia tuli.Halafu sio mtu wa wanawake.
 
Karucee....Umeongea Mama
 
uhandsome shuleni huku mtaani pochi Nene tuu...
 
am ok kabisa. nani alikuficha shemeji yangu? nilijiuliza sana maswali sikupata majibu
bora leo nimekuona jaman
Thank you.
Sijafichwa na mtu though I was too busy my dear, si unajua wanaume tumeumbwa mateso..Siijaisahau kazi yangu ya bodyguard nimekwenda kuongeza ujuzi ktk fani. I hope upo safe kipindi chote
Big boss yupo? Hajambo? Mpe hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…