Wapi hata maji huna unajisifu tu mwanaume aliyenazo haongei anatoa tu wewe kujisifu tu acha uzero masimu mengi wasted of time kila kitu wasted of time mwanaume anajijua tu sio usumbufu usumbufu hueleweki unatakaje
Nimecheki mara mbili mbili kuona kama huu uzi kweli ni wa 2018 au wa 2000, mi sidhani kama kuna mdada kwa sasa anangalia uhandsome wa mtu, Pesa tu unakula kila type tena vile unataka wewe