Mapenzi ya leo

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Inashangaza sana kuona wadada wengi wa Leo wakitazama mahusiano ktk mlango wa pesa.....
Wengi wanaomba mpaka kero...
Badilikeni mnaboa sana, Haki sawa mnayolilia mtaipataje sasa?
Gnyt!!!
 
kwani lazma kuwa na mpenzi?kama huwezi paki pembeni punguza jam....
 
Inashangaza sana kuona wadada wengi wa Leo wakitazama mahusiano ktk mlango wa pesa.....
Wengi wanaomba mpaka kero...
Badilikeni mnaboa sana, Haki sawa mnayolilia mtaipataje sasa?
Gnyt!!!

Inaonekana na wewe unaomba sana "k" mpaka wamekuona kero!! Badilika bana
 
Bro punguza stress kama huna hela usitongoze, piga nyeto tu.
 
KInachonisikitisha zaidi ni idadi ya vijana wanaotaka majimama ili kulelewa. Jamani hivi mwisho wa siku hali itakuwaje? Yaana job description yako wamtwisha mwanamke, na ya mwanamke wataka awe nayo yeye, atapumzika saa ngapi? Acheni hizo vijana, tujue kuwa hawa hawakuambiwa wale kwa jasho waliambiwa wazae kwa uchungu tu! Mpaka Beijing itukumbushe??

Waiter leta ingine nkalale, vijana wa kiume wanalia lia tu hapa, shut up you lazy kidds!!!!!
 
Bro punguza stress kama huna hela usitongoze, piga nyeto tu.

Mimi nina hela halafu nahonga sana ila kuwagegeda ndo inakuwa tabu,,,kila nikiwapa dushe wachezee wanaanza kutoa visingizio vingi nikitaka tunanihii
 





Halaf imekua kama fashion ckuhz vijana wa kiume kulelewa.
 
Inaonekana na wewe unaomba sana "k" mpaka wamekuona kero!! Badilika bana

Hahahaaaa.... Sio ivo, ukimsalimu tuu utasikia Mara baby ivi sijui vile.... Wizi mtupu. Wasubiri wapewe na sio kugeuka matonya. Mapenzi yamekua vitega uchumi...
 
Wachape tuu

Mimi nina hela halafu nahonga sana ila kuwagegeda ndo inakuwa tabu,,,kila nikiwapa dushe wachezee wanaanza kutoa visingizio vingi nikitaka tunanihii
 

Kuwajibika kwa mtazamo wako ni kutoa pesa ya mahitaji ya msingi au starehe? Sikiliza vzr mahitaji yao na utaelewa ninachosema hapa....
 
Halaf imekua kama fashion ckuhz vijana wa kiume kulelewa.

Unabadili mada, Mimi sitetei wakiumeni kulelewa... Kwanza ni kujidhalilisha sana. Kwa ujumla kuomba omba kila Mara ni kero. Watu wawaze kujikwamua
 
SALT, mupenzi mhm bana. Ila stress tupu viumbe hawa...
 
Last edited by a moderator:
Toa ela wewe achakulalamika mtoto wakiume,wahonge tu na papuch utapata sio unalalamika alafu wewe mtoto wakiume haipendezi!
 
Toa ela wewe achakulalamika mtoto wakiume,wahonge tu na papuch utapata sio unalalamika alafu wewe mtoto wakiume haipendezi!

Hahahaaaaa..... Nikitoa hela hafikishwi kileleni coz huduma nakua nimenunua
 
Kama unawapa hela ya mbuzi wategemea nini,na yeye atakupa hiyo hiyo inayoendana na pumbuzi hela yako!
Hahahaaaaa..... Nikitoa hela hafikishwi kileleni coz huduma nakua nimenunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…