Still mwalimu wa hili suala LA kujua moyo wa mtu hajapatika
Tunakuwa na visababu kadha wa kadha venye viashiria vya upendo tukidhan MTU akivionyesha/ kufanya basi anakupenda ...usivipe % kubwa saaana kwa maana wanafiki ni weng wenye kutumia hivyo visababu
Kumjua kama mtu anakupenda ni kazi sana maana wengi wao wanawwza wakawa wanajifanya wanakupenda kumbe kiundani hawana hata shida na wewe[/QU SI KWELI! UKICHUNGUZA KWA JICHO LA TATU NOTI FAKE UTAIJUA TU NA NDO MAANA TUNASIKIA ZINAKAMATWA!