Mapenzi ya kweli yapo

Mapenzi ya kweli yapo

Hapo Huyo jamaa alikuwa anavumilia tu coz mdada anamuhonga. Wanaume wasivyopenda kushare, ajikute tu anakuona na michepuko afu akuchekee, labda awe hakupendi

love and stay real hakika hutoyumba, hapo nlitaka wale wanaume wenye mawazo ya kuwa wanawake wanataka hela 2 wabadilishe mtazamo na kujaribu kuwajenga wanawake wao kiuhalisia, maana maisha ni uhalisia na co copy
 
love and stay real hakika hutoyumba, hapo nlitaka wale wanaume wenye mawazo ya kuwa wanawake wanataka hela 2 wabadilishe mtazamo na kujaribu kuwajenga wanawake wao kiuhalisia, maana maisha ni uhalisia na co copy

Nimekuelewa vizuri sana and i believe in true love pia. Sio Kila mwanamke yupo after money, ni kweli huyo dada alimpenda jamaa yako. But kumsaidia mtu kwa kutumia hela unazohongwa na wanaume wengine ni true love? Wewe utamruhusu girl wako atembee na mwanaume mwingine ili akusaidie wewe afu still useme anakupenda kwa dhati? Kwa nini asiridhike na umaskini wenu?
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu
True love always huwa Iko side effect
Unaweza kuta me ndo kafa kaoza ila Ke walaaa
Na huwa kawaida kabisa kwa mwenza wake au Ke ndo kafa kaoza ila me ndo walaa sa sijui reason ni nini Hasa jamani
Ila ni Mara chache sana kukuta both me n Ke wako totally falling in love
I don't know why guys
Anaejua anisaidie labda

hahahah ukiingia kwe psychology utaambiwa mmoja hajaruhusu upendo uingie kwake thats all.
 
Nimekuelewa vizuri sana and i believe in true love pia. Sio Kila mwanamke yupo after money, ni kweli huyo dada alimpenda jamaa yako. But kumsaidia mtu kwa kutumia hela unazohongwa na wanaume wengine ni true love? Wewe utamruhusu girl wako atembee na mwanaume mwingine ili akusaidie wewe afu still useme anakupenda kwa dhati? Kwa nini asiridhike na umaskini wenu?

totally nat, but i was just tryn to explain hw much she care mpaka kila ki2 anafanya nje ya uwezo wake ili jamaa aelewe situation
 
Jamani mapenzi ya kweli nakubali kabisa kuwa yapo
sema inakuwa hivi
almost 80% ya wapenzi au wachumba au hata wanandoa huwa upande mmoja ndo unapenda kuzidi upande mwingine hapo nikiwa nina maana kuwa
unawexa kuta me ndo anampenda sana mke wake ila ke yeye ana upendo wa kawaida tu kwa mumewe au mpenzie

na 20% nyingine hizi ndo pale unapokuta wahusika wote wawili wanapendana sanaaaaaaa
sasa mapenzi ya hivi mara nyingi ukikumbana nayo huwa yana madhara yake halafu effect yake ni kubwa mno

mapenzi ya namna hii mara nyingi utakuta mmoja wa wahusika huwa anakufa either me au ke
na me nilishaproove hilo kabisaaaa halina kipingapizi yani ukikuta mnapendana sanaaaaa na mkeo yani sanaaaaaaa
basi ujue tu hapo mmoja ataondoka tu na mmoja atabaki

na huyu mmoja atakaebaki itamchukua sana muda kwa yeye kuoa au kuolewa au sometimes anaweza asioe au asiolewe kabisa maisha yake yoteee

na hata kama akioa au akiolewa hatampenda mkewe au mmewe huyo mpya kama yule wa mwanzo

reason;;;;
mungu mwenyewe kanena kwenye biblia takatifu kuwa mimi ni mungu mwenye wivu
hivyo basi ampendae sana mwanadamu mwenzie kuliko mimi basi huyo hawezi nipenda mimi

hivyo upendo uwe na kiasi na usizidi mipaka ma ukizidi mipaka kwa upande mmoja hauna effect kwa mungu
ila tu upendo ukizidi mipaka kwa pande zote mbili basi ujue tu hapo nafsi moja lazima itoweke tu

nawasilisha
 
Lazma utakua ndo first yr maana hauwez kutumia tht simple scenario and make it general..... We are looking at a bg picture here ....open your mind and see
 
Lazma utakua ndo first yr maana hauwez kutumia tht simple scenario and make it general..... We are looking at a bg picture here ....open your mind and see

nawewe tanua akili yako alafu angalia uhalisia.
 
Habari waungwana,

Amani iwe juu yenu, mimi huwa naziangalia sana hizi hadithi mnazoleta watu wengi mnaimani hizi bila kuangalia uhalisia mnasema kuwa eti mapenzi sikuhizi hakuna katika maisha ya kawaida twende kwenye uhalisia, mimi nakataa hizi imani
maana nimeshuhudia mengi juu ya hili.

Mfano: Nina dada yangu jina kapuni ila anasoma nursing hapa DSM, alikuaga na jamaa mmoja anasoma UDSM kiukweli jamaa ni majalala tu anaishi kawaida kabisa ila sister alikufa kabisa kwa jamaa, na sister mashaallah ni mzuri sana kila sector kama anamapungufu basi ndo tulivyo binadam.

Alikuwa anaeza akapewa hata hela home au akapewa na michepuko huko na akampa jamaa bila hata kuombwa, kiufupi alikua anamsikiliza sana jamaa anamfanyia kila anachotaka, badae jamaa alizingua baada ya sister kwenda field Kilimanjaro na ili kujua sister alipenda aliumwa wiki ile hadi alilazwa.

Mfano: Chuo pia nashuhudia haya na mengine mengi, msichana mkali alafu hana shida analiliwa na mapapaa lakini anamlilia jamaa wakawaida sana hasikii haoni.

Tuongee uhalisia

sawa tuongee uhalisia kwa huu mfano wako na nilivyokoleza nani ana mapenz ya kweli kwa mwenzie...!!!!:noidea:
 
Bora umenisaidia aisee mkuu facilitator
Maana ningesema zaidi asingenielewa kabisa huyu Facilitator
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom