mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,931
- Thread starter
- #21
Sio HB, Hana HelaMhm!
unafanyaje??Sio HB, Hana HelaMhm!
unafanyaje??amna hapo unauacha moyo ndo uongee ma kufanya maamuzi, ila ujasiri kama huo mimi sina na siutaki kwanzaKuna shida hapo![]()
usicheke sasa, shauri yako😅
Hiki ndo kitendawili hamna mwanamke anaweza jibuMhmyaan sijui ninamfanyaje
![]()

Factor gani sasa na weweAisee swali lako Ni ngumu...Kuna factors nitaangalia nikijiridhisha fresh tu

Kabla ya kufanya maamuzi inabidi niulize moyo mara tatu tatu.Hiki ndo kitendawili hamna mwanamke anaweza jibu![]()
Huwenda ana vitu vingine vizuriKabla ya kufanya maamuzi inabidi niulize moyo mara tatu tatu.
Huwenda ana vitu vingi vizuri

Mfano....Huwenda ana vitu vingine vizuri![]()
Aiseee,cha ajabu unakuta mke anafika kileleni
umewaza nini mzee....Mapenzi ya kweli, akili ya utafutaji, baba bora.Mfano....
tutavumiliana kisha nitamzoea
Napata matumainiMapenzi ya kweli, akili ya utafutaji, baba bora.
Suratutavumiliana kisha nitamzoea
![]()
hii sura yangu naijua mwenyewe
Maswali gani Tena hayo mkuu 😂😂😂😂una kichwa kigumu sanaFactor gani sasa na wewe![]()
Napata matumainihii sura yangu naijua mwenyewe
![]()
kama jamaa hapo kaoa alafu kaoa tena. Hakuna kinachoshindikana bhana
Huendi mbinguniNdo hiyo imemuharibia na sura tayari kwhiyo tunarudi palepale ni sura mbaya
Kwann mkuuu 🤣🤣🤣Wanaume ni wachache sana
IST inasukuma SCANIA