Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Dada wa watu kajichagulia mtu wake anaejua ni ngumu kumsaliti/kutamaniwa na mwanamke mwingine, kwahiyo penzi lao litakua salama. Nimeipenda mbinu yake ya kivita.