Ilikua njiani tunatoka kula, halafu yule kaka yupo simple mnoooo. Hata akitokea sasa hivi akikuambia yeye ni konda utaamini.Mhu...Dada aliona mbali.Simini kama walikutana barabarani pengine mahali wamekaa hivi.Kijana kapendeza,wallet imejaa ana maneno mazuri,akili na busara yani output yake ukilinganisha na ya bodaboda unaona hapanaaa...atakuwa ananitania.
Nakwambia sio rahisi.Pengine kwa bahati tu aliona japo kitambulisho.Ilikua njiani tunatoka kula, halafu yule kaka yupo simple mnoooo. Hata akitokea sasa hivi akikuambia yeye ni konda utaamini.
Hapana hakuona, kwanza huyu binti mwenyewe ni wale wasio na makuu mambo ya simu za gharama huyu kaka ndiyo alimuanzishia yeye kumnunulia, unajua kuna watu wana hela ila jinsi wanavyojiweka huwezi kuwajua... ndiyo huyu kaka alivyo.Nakwambia sio rahisi.Pengine kwa bahati tu aliona japo kitambulisho.
Kwani alitongozwa dakika hiyo hiyo akakubali dakika hiyo hiyo?
Mapenzi hayachagui lakini
Kaka zangu wanawake wenye mapenzi ya dhati bado wapo, huwa nikisoma humu comments mbali mbali naona wanaume wengi hawaamini kama bado kuna wanawake ambao fedha kwao sio kipaumbele.
Tatizo wengine hawajiamini wanaona wakiongea ukweli labda watakataliwawanawake wachache sana wanaopenda hela .shida kubwa ya wanaume hawajiamini,ni waongooo.wanabaki kuvuna walichopanda. kuwa real inalipa sana.wao mashauzi yamewajaa inshort hawana hekima wala busara karika kutafuta wenza wao
nadhaniTatizo wengine hawajiamini wanaona wakiongea ukweli labda watakataliwa
Kumbe na yeye ndo walewale wa kununuliwa!Hapana hakuona, kwanza huyu binti mwenyewe ni wale wasio na makuu mambo ya simu za gharama huyu kaka ndiyo alimuanzishia yeye kumnunulia, unajua kuna watu wana hela ila jinsi wanavyojiweka huwezi kuwajua... ndiyo huyu kaka alivyo.
Probability hiyo.Wapo Mkuu hata kama ni wachache ila bado wapo
Kweli watu hamna imani na kwa style hii mtakua hampati hao wanawake wenye mapenzi ya kweli wasioangalia pesa...sababu hata nyie hamjiaminiProbability hiyo.
Hata huyo mdada nahisi alishtukia mchezo mapema kuwa anadanganywa jamaa ni boda boda.
Pua ya mwanamke inanusa harufu ya pesa hata ukijificha.
Wapo mkuu, Mungu awasimamieHata mimi nilikuwa siamini ila sasa hivi kidoogo naanza kuamini...
*siombei mabaya ila huyu akiendelea hivi basi atakuwa mke wangu wa ndoa hasa, she is simple and real.
ananifanya hata mm niwe real na nijiamini zaidi...
Amina, japo nyie jinsia KE hamuelewekii...Wapo mkuu, Mungu awasimamie