wapalepale
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 259
- 58
hahaahaha, na bata wanawazaje?
Ilitokea Tandale ndani ndani kabisa huyko!UIlitokea wapi hii?
ilitokea tandale ndani ndani kabisa huyko!
Jiulize kwa nini dada zetu wanaletaga shobo wakitokewa then utapata jibu la kuku!Mi bado sielewi,hivi ina maana kuku jike hapendelei yale mambo mpaka akimwona jogoo lazima akimbie kama anataka chinjwa?
Tena mkurya wa kitunda!kwel we mfunga kuku wa kienyej mm ninajua kula kuku na mayai yake wewe unajua hadi anawaza nini duh?
ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaa...ah! KwelTena mkurya wa kitunda!
Akhsante mkuu kwa mfano hai!Jiulize kwa nini dada zetu wanaletaga shobo wakitokewa then utapata jibu la kuku!