Mapenzi ya kizembe

Mapenzi ya kizembe

Mbona wako wengi tu, wengine wanachukua mikopo bank interest rate 25% million kadhaa kisa watanue na girlfriend. Kuna mtu namjua alipata pesa $ 250,000 doner money, akaitumbua yote na girlfriends auditors kufika no money no project. He took his own life kaacha mke na watoto bila kitu. Kama aliamua kutumia hizo pesa angejengea watoto wake hata kanyumba. Girlfriend anakatiza tu mjini like nothing happened.

Huo ni wazimu/ushamba wa mapenzi
 
Daaah! hawa watu hawana utu kabisa
 
Mr mgeni ... ujumbe unaweza kukufaa huku, karibu!!!
 
Last edited by a moderator:
Huo ni wazimu/ushamba wa mapenzi
Mfano huyo jamaa aliyekula fedha za donor was actually bragging about it na kujisifia kabisa kwa marafiki zake, you know that stupid saying "tumia pesa zikuzoee" ndio ulikuwa msemo wake mpaka akapewa hilo jina wakati it was not his money in the first place. Sidhani hata mwaka uliisha hela hakuna na alichofanya hakuna.
 
Inategemea unazo shs ngapi. Kama upata kilo 100 kwa wiki kutoa kilo 10 sio mbaya. Ujue hata wewe una-enjoy hayo mapenzi. Jino kwa jino
 
jamanee, ebutufiki
e wakati tuache lawama zisizo na maana. Hivi kama mfano wewe ni mtoto wa dada yangu alafu minikamnunulia mpenzi wangu gari au nimemjengea nyumba kuna tatizo gani!? Na huyo dada yangu wakati anazaa aliniambia mimi nije nimsomeshee wanawe? Mtoto wa dada, baba yake yupo wapi?

kwani huyo mpenzi wako baba yake anakuwa wapi?
 
This z a fact,ni u....nge huo. Et nao madem humu wanashabikia hiki kitu,kuweni na akili ninyi.Tunachojadili hapa ni ukwel mtupu.Et utamu! puli hakuna?
 
hahahahah kunjamaa mmoja alimsomesha demu mpaka chuo kikuu demu kamaliza chuo kaolewa na mchizi mwingine tena kwa bonge la Halusi mchizi mpaka leo mtu anayeitwa demu kwake ni mwiko hawapendi kinyama hahahahahaha kuhonga kipaji teh teh!!
 
nakumbuka kuna mmoja aliniambia eti LUKU imeisha na yuko kwa babake nkamwambia siukanunue ........akanuna mi nkajisepea
 
kwani huyo mpenzi wako baba yake anakuwa wapi?

Huyo mpenzi ninapoamua kumpenda na kumnunulia nyumba au gari nakua nimefanya kwa kuufurahisho moyo na pia kwa rutuba ya penzi, na nikiongeza ni kikohozi.
Ukizungumzia swala la baba yake mpenzi, ndipo hapo hata huyo kijana wa kusaidiwa nae baba yake yuko wapi?
Mpnz atanifurahisha kwa wakati uliopo ndiomana hata nikimgharamikia nisawa. Je, huyo mtoto wa dada atanifurahisha kwa lipi na lini?
 
Back
Top Bottom