Mapenzi ya kizembe

Mapenzi ya kizembe

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
Kuna watu wanawahudumia wanawake utadhani hawana ndugu au wamerogwa inafikia mahali mpaka unashangaa mbaya zaidi unakuta njemba inalipa fees kwa mwanamke wakati makids wa sister ake yupo mtaani mwisho wasiku wakitibuana ndo imetoka hivo...

WAKUU TUWE WASTAHARABU ASEE USITOE PESA OVYO SIO JAMBO JEMA...
 
Cdhani kama kweli ww unakili timamu ndugu zako wanahangaika ww unaenda kumnunulia gar Demu tena wakati mwngne co mke wako. huo 2naita n umburula.
 
wanaume wengine wanapenda kuhonga
acha tu wahonge warembo kwa maana wanalopata huko
 
kuna watu wanawahudumia wanawake utadhani hawana ndugu au wamerogwa inafikia mahali mpaka unashangaa mbaya zaidi unakuta njemba inalipa fees kwa mwanamke wakati makids wa sister ake yupo mtaani mwisho wasiku wakitibuana ndo imetoka hivo...

Wakuu tuwe wastaharabu asee usitoe pesa ovyo sio jambo jema...

mkuu hao ndugu zangu nao siwanatakiwa wapambane wapate chao..nini tatizo kumipia demu skul fees wakati watu wanaonga meli
 
Kuna watu wanawahudumia wanawake utadhani hawana ndugu au wamerogwa inafikia mahali mpaka unashangaa mbaya zaidi unakuta njemba inalipa fees kwa mwanamke wakati makids wa sister ake yupo mtaani mwisho wasiku wakitibuana ndo imetoka hivo...

WAKUU TUWE WASTAHARABU ASEE USITOE PESA OVYO SIO JAMBO JEMA...

Mimi mwenyewe huwa nashangaa, mtu anakuja kulia humu ooh nilihudumia sana lakini sasa kanisaliti, ulitumwa? mana si mkeo wala nduguyo kisa na mkasa? wanayatakaga bwana acha yawakute
 
mkuu hao ndugu zangu nao siwanatakiwa wapambane wapate chao..nini tatizo kumipia demu skul fees wakati watu wanaonga meli

kwani huyo mwanamke unaemuhudumia yeye ameshindwa kupambana kupata chake mpaka wewe ndo ugeuke mzazi wake?
 
jamanee, ebutufiki
e wakati tuache lawama zisizo na maana. Hivi kama mfano wewe ni mtoto wa dada yangu alafu minikamnunulia mpenzi wangu gari au nimemjengea nyumba kuna tatizo gani!? Na huyo dada yangu wakati anazaa aliniambia mimi nije nimsomeshee wanawe? Mtoto wa dada, baba yake yupo wapi?
 
cdhani kama kweli ww unakili timamu ndugu zako wanahangaika ww unaenda kumnunulia gar demu tena wakati mwngne co mke wako. Huo 2naita n umburula.

undugu lawamaa hata umsaidiaje bado utalaumiwa mi sio kwamba spendi ndugu zangu ila na mimi na maisha yangu lazima nifuraishe nafsi yangu kwanza alafu unandugu kibao kiafrica utasaidia wangapi,ukimsaidia watumbo mmoja utaskia wa mama mwingine anasaidia wa dogo zake tu au dada zake,ukisaidia na wa mama mkubwa upande wa baba utasema ooh anasaidia wa upande wa mama tu,ndugu lawamaa nao wakomae wapate chao
 
Ndugu yako atakupa utamu ninaokugea mie au mnajishaua tu hapa? EVERY BODY FOR THEMSELVES GOD FOR US ALL!
 
kwani huyo mwanamke unaemuhudumia yeye ameshindwa kupambana kupata chake mpaka wewe ndo ugeuke mzazi wake?

ndo mpenzi wangu sio kushindwa kama kipenzi chake naweza kumpa hizo huduma awe na uwezo asiwe nao
 
Hivi wanaume wa hivyo wanapatikana mitaa ya wapi jaman mbona mimi sijawahi kuwaona?
 
Cdhani kama kweli ww unakili timamu ndugu zako wanahangaika ww unaenda kumnunulia gar Demu tena wakati mwngne co mke wako. huo 2naita n umburula.

Mbona wako wengi tu, wengine wanachukua mikopo bank interest rate 25% million kadhaa kisa watanue na girlfriend. Kuna mtu namjua alipata pesa $ 250,000 doner money, akaitumbua yote na girlfriends auditors kufika no money no project. He took his own life kaacha mke na watoto bila kitu. Kama aliamua kutumia hizo pesa angejengea watoto wake hata kanyumba. Girlfriend anakatiza tu mjini like nothing happened.
 
Kuna watu wanawahudumia wanawake utadhani hawana ndugu au wamerogwa inafikia mahali mpaka unashangaa mbaya zaidi unakuta njemba inalipa fees kwa mwanamke wakati makids wa sister ake yupo mtaani mwisho wasiku wakitibuana ndo imetoka hivo...

WAKUU TUWE WASTAHARABU ASEE USITOE PESA OVYO SIO JAMBO JEMA...

Its very true,,,,,wanawake wa mjini ni wezi wa mchana
 
Back
Top Bottom