Ha ha utanipeleka nikaombewe
Nabadooo na iwe fundisho na kwa wengine wenye tabia kama hiyo.
Najua basi.. kanisa liko Tabata kuna siku nilienda
nikamuone huyo uncle weee nilicheka sana aiseeeeee
Pole yake huyo mama....yeye alidhani huyo kijana ana mapenzi na yeye?? Thubutuuu...kwa lipi??
Bebi kwani hunipendi mimi kiserengeti chako?
Umeona na wana hakika mama yao ni kamanda anajielewa
Yaani mimi je acha tu imeniuma halafu ukimwona na anavyoumwa sasa sijui kama atadumu maana anakaa anasema nimetapeliwa M40??? Huruma hadi basi
duuuuh pole yake huyo mama hii ina apply kote si kwa wamama tu tuwe makini na wapenzi wapya