Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Habarini
Nimeona niwashirikishe hili jambo ambalo limemkuta Mama wa Rafiki yangu.Ni story ndefu na imechukua process ya karibu mwaka mzima but nitaifupisha kama hivi.Mama wa Rafiki ni mstaafu wa JWTZ mumewe alishafariki kitambo.Baada ya kustaafu akalipwa mafao na akiwa na Nyumba yake nzuri tu Morogoro Town. Vijana wa maloveee wakamlia mingo Mama. Mama kaingia line anapenda serengeti boy.Serengeti mazima kama kweli mpaka kamtambulisha kwa wanae wote wapo wanne na wote wako vizuri wanamaisha yao safi hawajagusa hata mia ya Mama.
Serengeti alifaidi Mafao mpaka yakaisha wakahamia Morogoro kwenye nyumba toa mpangaji wakaishi kama mume na mke karibu mwaka hivi.Serengeti boy akamwambia madam tufanye Biashara tutakaa hivi mpaka lini? Mama kasema biashara ya konokono kupeleka China kweli inalipa sana.Safari Morogoro to Bagamoyo kuona mzigo wale wenzie serengeti boy ndo wakajifanya wauzaji na hawajuani. Mama kaingia line twende bank kukopa kwenda bank wakaambiwa mpaka uwe na biashara ya kuonyesha ndio upate mkopo.
Kurudi home dogo kasemaje tuuze Nyumba tukiuza mzigo mara moja tu tunanunua nyingine.Nyumba madalali na mnunuzi tayari wako ready si unajua ni deal limesukwa M40 bank. Nyumba ikauzwa kijana kasema inatakiwa tununu mzigo kwa M20 mambo mengine yafate mama katoa cash mtu wa bank kamwambia mama mbona pesa imeingia tu juzi leo unatoa kiasi kikubwa hivi mama kawa mkali kama mbogo wakampa chake.
Morogoro to Bagamoyo kuchukua mzigo viroba vitano hadi home. Kesho kijana sasa mama kinatakiwa kibali na watu wa clearing and forwarding 5M ikatoka.Baada ya hapo kijana haonekani wala simu zote hapatikani mama anawaza imekuwaje defender ndani ya nyumba mama una nyara za serikali huna kibali kifungo ama toa 15M mama kwa woga kasema nina 10M ikaondoka.Anashituka kalizwa mafao na nyumba kauzi kaachiwa gari tu wameiona sijui imechoka.Mama yuko kwa rafiki yangu BP kila siku. Wizi huu umeingia sana siku hizi tuwe makini na wapenzi wapya jamani.
DA