Mapenzi Ya Kikauzu!!

Mapenzi yana art yake, chakula kina sayansi yake, unapoona anakubania ameshakuona wewe mchizi poli nenda kozi mbona wapo madaktari wa mahusiano na mapenzi? ukichelewa ataondoka jumla.

Mkuu! hapo Umenena,Ila Madaktari Wa Ukweli Hawapatikani Kirahisi(Wengi Wahuni)....
Nisaidie Kwa Hilo Plzzz!
 
Bado Ndugu Yangu!!

kama bado unatarajia nini? ooh, mwenzako umri unakwenda halafu hausomeki mtu mzima,
mimi nawashauri sana ndugu zangu ukishajipanga then tafuta mchumba nenda naye miezi 6, kisha weka ndani.
lakini usisahau kwamba MUNGU NDIYE MWANZO NA MWISHO
 
tehetehe wot goes around come around,kumbe nanyi msipojaliwa inawaumaga,hakuna kitu napenda kwenye hii dunia kama kuona mwanume analalmika kama si kulia kwa kutendwa,[/Q
daauuuuhh..nashindwa nianzie wapi hapa..ila tuache masihara aisee hakuna kitu kigumu kama kuachwa na mwanamke unayempenda..aiseeee..!!usiombe hayo maumivu yake..suprise.
 
Mkuu! UPT Ndo Kitu Gani?
Ahsante!

Urinary Pregnacy (nt) Test mkuu......ina detect hormones kwenye mkojo once a woman has conceived na ina strips mbili ya kwanza ni control kuonesha viability ya kipimo chenyewe na wa pili ndo confirmatory

Check Google kwa details zaid mkuu
 
Back
Top Bottom