Mapenzi Ya Kikauzu!!


Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,416
Points
1,250
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,416 1,250
Mi Sipendi Huyu Mpenzi Ambae Nikiwa Nae Anakaza, Ila Kwa Wengne Analegeza(full Kutabasam Na Kujichekesha)!

Mpenzi Huyu Ambae Hataki Tule Pamoja(Mda Wa Chakula Ukifika Anajiweka Bize Na Mambo Mengine!)

Mpenzi Wangu Huyu Nikirudi Kazini Yeye Anaendelea Na Soga Kibarazani Na Shogaze(Hata Kuniangalia Hataki)

Mpenzi Wangu Huyu Ambae Hatofautishi Mda Wa Kubanjuana Na Mda Wa Kazi!!
Mpenzi Huyu Ambae Toka Niwe Nae Yeye Kazi Yake Kunibp Tu!
Mapenzi Gani Haya Jaman!!?...Aah!
 
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Messages
1,826
Points
2,000
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined May 7, 2012
1,826 2,000
TEMAA KABISA, asiyekuthamini hana time na wewe.
 
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Messages
1,826
Points
2,000
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined May 7, 2012
1,826 2,000
Nampenda Na Ni Wa Mda Mrefu Ila Kabadirika mwenzangu!
Ahsante!
Basi ulishaonesha jitihada za kuweka ndani?
kama bado ujue kuna mtu kaonesha,
ukitendwa ujue kuna mwenzio kapendwa
 
K

kichwaones

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
399
Points
0
K

kichwaones

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
399 0
siku zote ana ele kazi beep tu, sepa kaka
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
48,074
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
48,074 2,000
kwani wewe unaonesha mapenzi ya gani hata ya mwenzako uyaite ya kikauzu?
 
WALIMWEUSI

WALIMWEUSI

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Messages
2,127
Points
1,250
WALIMWEUSI

WALIMWEUSI

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2011
2,127 1,250
Majigo kama kusoma hujui na picha kuwezi kuiona?Huyo hakupendi!
 
mdida

mdida

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
1,607
Points
1,225
mdida

mdida

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2011
1,607 1,225
hahahaaaaaaaa kweli yamekukuta mwenzetu hebu jiangalie wapi na wewe unakosea, ongea nae taratibu ujue nini tatizo.
 
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,611
Points
1,225
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,611 1,225
eeeehw mapenzi kizungumkuti,..............!
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Oooh! Pole sana rafiki.
Ila ningependa ujue kwamba unaweza ukawa wewe ndo sababu inayomfanya mwenzi wako asipende kukaa karibu yako na hata kukupa mapenzi kwa wakati.
Hii hutokea sana hasa pale mmoja wenu kuwa mkali kwa mwenzake hususa ni pale anapomkuta amekaa na wenzake wakibadilishana mawazo au kujadili mada tofauti tofauti.

Au huenda haumpi mapenzi ya dhati pale yeye anapohitiji hivyo humfanya kuchukua muda kumpatia mtu mwingine penzi hilo na pale unapohitaji anakua hana hisia za kimapenzi hivyo hujifanya busy ili usimsumbue.

Au huenda unajihusisha na wanawake muda mwingi hivyo kutokukuamini kwamba unampenda kwa dhati coz mtu huwa na wivu kwa yule ampendae kwa dhati na pia hayuko tayari kumpoteza kirahisi.

Au naona jaribu kurudisha kumbukumbu zake huenda kuna siku yoyote uliyomuudhi hivyo humfanya ajisikie hasira pindi akuonapo. Na endapo ukibaini hivyo jaribu kuwa mpole kwa kumuomba forgiveness naamini atakusamehe.

Nakutakia kila la kheri.
 
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Hayo mapenz ndo mazuri hayana stress
 
Gogo la choo

Gogo la choo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
713
Points
195
Gogo la choo

Gogo la choo

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
713 195
Kuna wimbo unaema "ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.."pole mwanaume mwenzetu..najua umeshikwa hapo ila omba Mungu atakusadia..
 
COURTESY

COURTESY

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
2,010
Points
1,225
COURTESY

COURTESY

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
2,010 1,225
Unasubiri kukuche ndio uanze kucheza kiduku,jing'atue mkuu hapo sio
 
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
4,587
Points
1,195
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
4,587 1,195
Mi Sipendi Huyu Mpenzi Ambae
Nikiwa Nae Anakaza, Ila Kwa Wengne Analegeza(full Kutabasam Na
Kujichekesha)!

Mpenzi Huyu Ambae Hataki Tule Pamoja(Mda Wa Chakula Ukifika Anajiweka
Bize Na Mambo Mengine!)

Mpenzi Wangu Huyu Nikirudi Kazini Yeye Anaendelea Na Soga Kibarazani Na
Shogaze(Hata Kuniangalia Hataki)

Mpenzi Wangu Huyu Ambae Hatofautishi Mda Wa Kubanjuana Na Mda Wa Kazi!!
Mpenzi Huyu Ambae Toka Niwe Nae Yeye Kazi Yake Kunibp Tu!
Mapenzi Gani Haya Jaman!!?...Aah!
Piga chiniiiiiii!
 

Forum statistics

Threads 1,296,014
Members 498,494
Posts 31,230,721
Top