Mapenzi ya kibongo na kupeana maua..

Hivi kuna mpenzi yeyote aliyewahi kumletea mpenzi zawadi ya Sigara? mfano kwa yule havuti sigara akamletea zawadi ya sigara kwa yule anayevuta.
 
mtakuja kufungwa na hakielimu hizi! wakubwa wenzenu hamuwaoni,lol!
Ha ha ha! Ni katika hatua ya kuwandaa kwa majukumu ya baadae Hakielimu watatushukuru tu, ila wengine wakubwa wenzetu ila bado kula kulala wanaishi kwa shikamoo.
 
aaah kumbe unacheza na vi-kindergaten, huogopi haki elimu weweeeeee
Aah! Si hao, ni wale waliomaliza vyuo ila hawana ajira so bado ni kula kulala wanaishi kwa sheria za wazazi/walezi.....Ila vihakielimu navyo dah! Basi tu.
 
Back
Top Bottom