Mapenzi ya Jogoo ni ya kuigwa

Jogoo bhana anapenda kuwa mkiliki wa kila mtetea
 
Yaan mada kama hiz ukichelewa dakika 5 tu utakuta page zipo 11
 
Ha ha ha ha hii kali
 
Jogoo ni fundi aisee... Mkali wa haya mambo ni simba yeye na jike wake wanaenda Honeymoon siku 4 mpaka 7 afu mchezo kila baada dk 20
 
imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho hivyo jogoo lazima atoke jasho kwanza ndio ale na mtetea lazima agome gome kwanza kabla hajatoa penzi kuonyesha thamani yake leo hii unakutana na Mwanamke dakika moja baa da ya nusu saa unaenda gonga hatakumtongoza akusumbue kidogo hamna
 
Pia kama kuna anaempenda sana ukichunguza utakuta mara mfugaji unapomleta mtetea mpya bandani mfano umemnunua sehemu nyingine..ile kumuingiza tu jogoo anaachana na wale wengine wote, anahakikisha anamuonja kwanza huyu mgeni..hii inamaanisha nini? au tunaweza kujifunza nini?
 
ha ha haaaaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi watu hua mnafikiria nini hadi kuandina vitu kama hivi. Nimecheka balaa
 
Hujafuga wewe! Katika ndege "hakuna" mhongaji mzuri kama jogoo. Tizama vizuri utaona anavyoitia matetea chakula Kama kuku jike anavyoitia vifaranga hivi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…