Mapenzi ya Jogoo ni ya kuigwa

na pia waambie jogoo huwa anahonga ,.. kabla hajamgonga mtetea huwa anamuitia chakula wakati anakula pale ndiyo anaaaanza kumzungikia na baadae kumkimbiza .. asante kwa somo
Miss chagga nilijua lazima utakuja na koment ya ela wew hatari mama kweli kwako pesa mbele
 
Jogoo bwana ana swagga zake tu
amamuitia tetea vipunje vya mahindi tetea akifika jogoo anaanza sound anashusha bawa moja huku anakwaruza chini kumzunguka tetea anamwambia ukinikubalia nitakujengea nyumba kuanzia hapa mpaka huku huku anasima tena tetea anakuwa hajakubali jogoo anajipinda tena kuchora ramani ya mjengo nitakujengea ya kuanzia hapa hadi huku huku mara mzigo huo kitu ndani ya kitu chali! Beberu la mbuzi naye huwa ananusa kwanza halafu anatazama juu kwa bashasha akisema ewee muumba ukiumba vyote lakini hapa aaah muumba uliumba
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna mnyama anayefanya mapenzi kwa ajili ya kustareheka zaidi ya binadamu na nyani...
Over!!
 
Kitu mbwa bhna ana fanya pushing yenye mvuto ukiwa unaangalia unapta ham kinoma
 
Kama huwa unafuatilia huwa anahonga maana atamwta kwa sauti inayoashiria kuna chakula akifka tu....
 
Hakuna mnyama anayefanya mapenzi kwa ajili ya kustareheka zaidi ya binadamu na nyani...
Over!!
Hata jogoo aisee. Labda kwa upande wa tetea sawa, sidhani kama ile mikiki mikiki ya jogoo siku nzima anakuwa anawaza watoto. Hata upande wa mbuzi pia, beberu anachukulia kama starehe.

Hapa wanasayansi inabidi warudi kwenye utafiti, kuna viumbe wengi tu wanapenda kwich kwich kama starehe...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanyama wote huwa wanajamiana kwa ajili kuzaa tu isipokuwa FISIMAJI NA BINADAMU ndiyo huwa wanafanya mapenzi kwa ajili ya kuzaa na starehe beberu hawezi kumpanda jike bila ya kuingia joto ngo'mbe mbwa nao vile vile jogoo hawezi kumpanda jike yeyote bila ya kuwa tetea na jike akikua utamsikia tu anaimbia kihibdi teeeeeteeeettteeeteeeetkooooookeeeereeeyeee jogoo anajua tunda limeiva
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] yani [HASHTAG]#compact[/HASHTAG] # mmmh sikuwezi...
 
Tena hamna kiumbe kinahonga kama jogoo. Akiona vipunje vya mahindi au karanga utaskia koh koh temba wanakuja....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wambiee hao mabahili
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] yani [HASHTAG]#compact[/HASHTAG] # mmmh sikuwezi...
Jovitha huniwezi kwa lipi mpendwa? Mbona mimi wa kawaida tu? Hahaaha
 
 
Somo zuri kuhonga ni kiashiria kuwa hujiamini na hujikubali ulivyo na kuona, inamaana kwamba huna ushawishi zaidi ya ushawishi wa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…