Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Watu wanahangaika na sijui dakika za kufanya mapenzi na kusahau lengo la kufanya mapenzi.Teh teh......noma sana!!! Jogoo anakojoza fasta......
Ujumbe maridhawa kabisa lakini umesahau kimoja;
Jogoo hamuhongi chochote mtetea iwe wadudu, chakula, au chochote. Bali Jogoo hujitafutia kivyake na mtetea naye hujitafutia kivyake.
SOMO:
Kila mtu ajitegemee anavyoweza. Mambo ya kuhonga ndo upewe mzigo yafikie tamati.
siyo swala la bao ngapi?Watu wanahangaika na sijui dakika za kufanya mapenzi na kusahau lengo la kufanya mapenzi.
Hata uende masaa 5 lakini hujamkojoza mwanamke umefanya kazi bure.
Nenda uendevyo lakini siri ni kukojoza wala hakuna kingine.
wewe muongo jogoo anawaitaga mitetea nakuhongaUjumbe maridhawa kabisa lakini umesahau kimoja;
Jogoo hamuhongi chochote mtetea iwe wadudu, chakula, au chochote. Bali Jogoo hujitafutia kivyake na mtetea naye hujitafutia kivyake.
SOMO:
Kila mtu ajitegemee anavyoweza. Mambo ya kuhonga ndo upewe mzigo yafikie tamati.
siyo swala la bao ngapi?
Hahaha, wakati mtetea ndiye humuita Jogoo alafu akishafika mtetea anakaa pembeni? Au hao ni kuku wenu wa Marangu?wewe muongo jogoo anawaitaga mitetea nakuhonga
Tena hamna kiumbe kinahonga kama jogoo. Akiona vipunje vya mahindi au karanga utaskia koh koh temba wanakuja....wewe muongo jogoo anawaitaga mitetea nakuhonga
wewe sijui unaongelea jogoo wa nyumbani kwenu wachoyo kama wewe.... mtetea huitia watoto wake na jogoo huitia chakula majike na asiyemtaka anamfukuzaHahaha, wakati mtetea ndiye humuita Jogoo alafu akishafika mtetea anakaa pembeni? Au hao ni kuku wenu wa Marangu?
ndiyo halafu anashusha bawa lake anacheza cheza kwanza ndiyo anagongaTena hamna kiumbe kinahonga kama jogoo. Akiona vipunje vya mahindi au karanga utaskia koh koh temba wanakuja....
ndiyo kabisa wewe unajua kutia ila ukiwa napesa utakuwa vizuri zaidiWatu hawajui hili mkuu.
Mara sijui hogo,
Mwingine Kibamia
Mwingine bao tatu bila kupumzika.
Msingi wa mambo yote ulifanikiwa kumkojoza mpaka akashindwa kuamka kwa kulegea magotini na kiunoni?
Naskia mapenzi yalianza kwa ndege bwanandiyo halafu anashusha bawa lake anacheza cheza kwanza ndiyo anagonga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]wewe muongo jogoo anawaitaga mitetea nakuhonga
"Asiyemtaka anamfukuza"wewe sijui unaongelea jogoo wa nyumbani kwenu wachoyo kama wewe.... mtetea huitia watoto wake na jogoo huitia chakula majike na asiyemtaka anamfukuza