Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,356
Sio vibaya mara moja moja tukawa tunajadili upande wa pili wa shilingi...
Nachokoza hoja kwa kubainisha faida za mapenzi ya fedha dhidi ya mapenzi ya dhati
1. Hakuna jasho kwenye kutongoza... pesa inaongea
2. Kahuna wivu wa kijinga... hata ukifumaniwa inapotezewa as long as mshiko unatoka
3. Hakuna kugandana na kuandamana... mpesa/tigopesa inafanya kazi
4. Heshima ni kubwa unavyotaka wewe... mtu anajua hawezi kuishi mjini bila wewe
5. Unapewa unachotaka... mtu hawezi kukuringia, ukimwambia fanya hili anafanya
6. Hakuna kufokeana... mapenzi ya dhati viwivu ni vingi, kufokeana nje nje
7. Ukipinduliwa haiumi sana... ni rahisi kuhamishia huduma kwa mwingine... by the way wahitaji ni wengi siku hizi
8. Hakuna kuumizana vichwa kujadili kuoana... unless otherwise
9. Ni rahisi kujitoa... unakata tu huduma...
10. Haijalishi umri... chezeya pesa weye...
11. Haijalishi sura... hata uwe na domo kama la bata utaitwa hondsome/beautiful
12. Haijalishi kama umeoa au umeolewa... hebu jaribu kumwambia mtu mimi nimeoa, sina ela lakini nakupenda kwa dhati.. usikilizie matusi yake
13. Ni rahisi kuwa na idadi uwezayo... hela yako tu, maana hela inagawanyika kimahesabu, but moyo haugawanyiki (kama 0 vile)
14.
15.
16.
Ongezea hapo...
Tahadhari... Kuweni makini na wachagga... risasi zinamiminwa vichwani mwa watu nowadays