Kwa wanaume na mimi nakubali kuwa sex na love ni vitu viwili tofauti. Kwa mwanamke naomba niwapinge. Ukiona msichana/mkeo katoka nje jua wazi huna chako kwa sababu kwa wanawake hiyo kitu ina involve feelings si tamaa ya mwili pekee unless wale wachache wenye pepo ambao they can't spend a night without. Au hao dot. com ambao ni pesa ndo zinawafanya watembee hovyo. But still hata kama ni pesa naendelea ku doubt kama msichana wa hivyo anakuwa anampenda mtu anayemcheat. This is why wanawake wengi ni waaminifu sana except those who are kibiashara zaidi.
Na nadhani ndio maana wanaume wengi hawana msamaha kwa msichana anayewacheat kwani wanajua hamna penzi tena.
Tatizo watu wanatafuta 'full package' ndio maana wanatanga tanga.
Nakubaliana na wewe dada kwa 100% ila bado nashindwa kuunga hoja mkono kwa sababu; .... wewe mwenyewe umetuchanganya tayari...
Kama wanawake wengi ni waaminifu kwa sababu wao sex ni love....na wanaume hawana hiyo kitu..kwa hiyo wanacharaza kwa kwenda mbele...Hizo ratio mbona hazilingani? Hao wanaume wengi wanakimbizana na akina nani wakati wanawake wengi wametulia kwa waume zao??
Wanacheat na wanawake wachache ambao mostly ni single na hii inasababisha kuwe na kushare ndio maana ukimwi unaenea kwa kasi
Dada,
Una maana kwamba kuna wanawake wanaolewa in their 20s na kufikia menopause bila kugawa kitumbua nje????
And smart people learn from other people's mistakes.
Hapo kwenye redi, jamaa hawakumwelewa huyo demu, SHETANI KAMWINGIA. chakujiuliza ni alipitia nyuma au mbele?Nipo hapa kijiweni kama kawaida nang'arisha viatu,washkaji kama kawaida wamejaa kijiweni wakilonga kila mtu alilonalo analiwasilisha na mijadala imepamba moto hapa.Kwa kweli kijiweni kuna raha yake hata kama mishe2 za hapa si za kuingiza mihela mingi kama ya epa lakn kila kitu ni burudani.Moja lililonifurahisha na kunishangaza ni hili
Eti,..kuna jamaa ana mpnz wake wanayependana sana toka kitambo,..sasa jana jion jamaa akiwa maeneo na washkaji akamuona demu wake kaongozana na jamaa mwingine,ikabidi amfuatilie ajue nini hatma yake.Demu na jamaa wakaenda mpaka ghetto kwa mshikaji_hapo jamaa kapagawa...kashindwa akitinga home kwa jamaa_jamaa anaweza akamtoa nduki na bisibisi halafu itakua how come sababu hajamuoa..ikabidi asubiri sehem na washkaji wake,..mara sister duu anatokea anakutana na mshkaji anaaanza kulia eti shetan kamwingia hakua na nia ya kumsaliti mshkaji na kamwe hayuko tayari waachane.
Sasa mimi nashindwa kuelewa huyu mdada amefanya haya yote,tena kwa hiari yake halaf anasema eti shetan,....bado anampenda mshkaji wake na hayuko tayari waachane.......wana jf huu ndio mtindo mpya wa mapenzi?
ujue kuna vi2 hata shetani havipendi tunamsingizia tu! Yaani atongozwe,akubali,wanapanga miadi,anaenda anamvulia ch***p then wana-do halafu kisingizio shetani.Kwani huyo shetani alimshikia RPG?(Bunduki ya kuharibu majengo makubwa).Sijui jamaa alipata wapi ujasiri wa kuongea naye ningekuwa mimi tunagawana majengo mimi segerea yeye muhimbili maana huu ni ujinga mura.
kweli kabisa ulichosema mamy hiyo ni fact, sex kwa wanawake ina involve emortion sana unless mtu yuko after pesa or something elseKwa wanaume na mimi nakubali kuwa sex na love ni vitu viwili tofauti. Kwa mwanamke naomba niwapinge. Ukiona msichana/mkeo katoka nje jua wazi huna chako kwa sababu kwa wanawake hiyo kitu ina involve feelings si tamaa ya mwili pekee unless wale wachache wenye pepo ambao they can't spend a night without. Au hao dot. com ambao ni pesa ndo zinawafanya watembee hovyo. But still hata kama ni pesa naendelea ku doubt kama msichana wa hivyo anakuwa anampenda mtu anayemcheat. This is why wanawake wengi ni waaminifu sana except those who are kibiashara zaidi.
Na nadhani ndio maana wanaume wengi hawana msamaha kwa msichana anayewacheat kwani wanajua hamna penzi tena.
well said mamy, experience imeku build to become one of the few best women i knowSayari ya experience... learning from mistakes.. loving... heartbreaks... observation... Great guy friends (with no benefits) and never regretting but learning from every thing nimepitia na walo pitia wa karibu yangu... Best remedy....
Nina msemo fulani... Usipo jifunza kupitia kwa mistakes za wa karibu yako (jamii) utajifunza kwa kupitia mwenyewe....