bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Mapenzi ya dhati na ya kweli yako Analog
Ila DIGITAL no money no love!
nimechoshwa sana na hizi mada zinazojustfy pesa ndo mapenzi. kila tukisema bado haliwaingii akilini watu kibaya zaid lara 1 atahuabiri pesa ilivyo the driving factor na side B wakaka watahubiri wadada wanavyopena hela sasa mie ninachoshindwa kujua ni jambp moja kwann mtu usi date mtu unayeendana nae kiuchumi??
mathalani wewe mtoa mada umemwona kabisa gfsonwin sio wa hali yako why being bothered na feelings towards her?? achana nae go for your type.
istoshe ustegemee maisha yawe kama uwazavyo wewe.
Wakikua wataacha...kuna umri assumptions za maisha zinaweza zikawa hovyo kabisa. Hela hazina mwenyewe zinatafutwa. Kila mtu anayezitafuta anaweza kuwa nazo...sijui kwanini watu wanalalamika bila sababu.
Tatizo na wanaume mmeweka mbele mgegedo...muulize mzabzabHivi kweli siku hz kuna mapenzi ya kweli kutoka kwa dada zetu? Make naona pesa imewekwa mbele kuliko upendo wa dhati. Ukiwa na gari hata la kuazima, ukaongeza vijisenti kidogo basi unampata mdada yeyote. Je tutafika kwa staili hii?
Hivi kweli siku hz kuna
mapenzi ya kweli kutoka kwa dada zetu? Make naona pesa imewekwa mbele
kuliko upendo wa dhati. Ukiwa na gari hata la kuazima, ukaongeza
vijisenti kidogo basi unampata mdada yeyote. Je tutafika kwa staili
hii?