Nchi ipi unayozungumzia?
Dr nchi yoyote ile duniani na katika baadhi ya nchi pale ambapo Drs walishindwa kuheshimu professional ethics za taaluma zao basi kama kulikuwepo na ushahidi wa kutosha basi hawakuruhusiwa tena kuendelea na udaktari wao.
Hapa nyumbani ushawahi kuona inatokea? Viongozi wenyewe wezi na hawana maadili saa ngapi watawawajibisha wafanyakazi wanapokiuka maadili? Ni vigumu mkuu BAK
navyojua kitu unavyoona kila siku unakuwa huna ham nacho,sasa daktari wa magonjwa ya kike naye hazoei tu wakati anaziona kila siku
Oh! Dr nchi yetu mmomonyoko wa maadili umekuwa mkubwa sana kiasi ambacho hakuna taaluma yoyote ile ambayo wahusika katika taaluma hiyo wanaheshimu ethics za professional yao. Mgonjwa akijilengesha kwa Dr basi Dr lazima ajirushe naye, mhandisi yuko tayari kukiuka viwango vya ujenzi wa ghorofa ili tu ajipatie vijisenti vichache na baada ya muda ghorofa hiyo huporomoka. Nini kifanyike Dr ili kupambana na huu mmomonyoko mkubwa wa maadili ambao unaathiri utendaji katika kila sekta muhimu nchini!?
Wameamua kuweka professional ethics zao pembeni. Daktari kama huyu akigunduliwa basi ni kumfuta kazi na kuhakikisha hapati ajira kama Dr popote pale nchini hata kufungua zahanati yake asiruhusiwe.
Hiyo ni sawa tu na vijana wa benki wanavyochungulia pichu za akina dada!!
Hiyo ni tabia tena ya uzinzi baina ya hao wote wawili ,kwanini mgonjwa akubali?ina maana si amekubali sound za mgegedaji?
Mbona watu kibao tu wanafanya hiyo kitu sio docta tu
Malecture wanakula madenti...
Wenye akili class wanawaita mwenzao ghetto kuwafundisha then anakula mzigo
Wenye usafiri mtaani wanatoa lifti zen anakula mzigo
Hiyo haina taaluma Bali ni tabia ya kupenda usinzi pande zote mbili
Eveleyn salt..wewe unajua vzr sana mchezo ulivyo..
Wengine wanapenda kuliwa na wanachuo tu teh bora we dokta
kweli mkuu wanakera sana.tena inaniudhi mtu kajifungua juzi tu anaanza kukustalk,akikutana na daktari mwingine anagoma kutibiwa mpaka aje kwako.sometimes wanaliwa kutokana na vimbelembele vyao.binafsi nishawahi kuwa na wapenzi kama wawili lakini niliwatokea baada ya wao kupona na sio kwa kutumia taaluma yangu.kuna mke wa mtu alinifanya nibadilishe mpaka namba ya simu...
Mimi nini Evelyn Salt maana nlikuwa nafanya hospital moja..nkawa nawatibu wadada wazuri tu hapo mjini..nlianza moroco nkahamia ya posta..usikute tushaonana bana..maana nlikuwa natibu cooperate patients..Ha ha ha I won't forget siku niliyofall kwa daktare mmoja hivi baada ya kunitibu
nilimpenda hadi nkahisi kuumwa tena yani
Mimi nini Evelyn Salt maana nlikuwa nafanya hospital moja..nkawa nawatibu wadada wazuri tu hapo mjini..nlianza moroco nkahamia ya posta..usikute tushaonana bana..maana nlikuwa natibu cooperate patients..
Aisee hongera sana bana..kumbe chief wangu alishakuwahi..Ha ha ha hapana bana muda huo alikuwa intern, na ndio mme wangu sahivi lol.....
mapenzi yalituelemea
Aisee hongera sana bana..kumbe chief wangu alishakuwahi..
Ofcourse mm sijakuona lkn kwa kucheki tu hapa jf... Lzm mtu akuweke ndani faster kabla watu hawajamuwahiAliamua kunitibu jumla ha ha ha