Hayo si mapenzi ni ubakaji!
Wameamua kuweka professional ethics zao pembeni. Daktari kama huyu akigunduliwa basi ni kumfuta kazi na kuhakikisha hapati ajira kama Dr popote pale nchini hata kufungua zahanati yake asiruhusiwe.
Aaaanh kama wanakubaliana haina shida ila anatumia taaluma kama kikwazo hapo pana taabu!!!!
Mbona wagonjwa wengi tu wanawapenda madaktari tena wengine mpaka kero akijua tu ratiba anakaa foleni kurupu huyu ndani na hana shida wala hapindishi!!!!!!
Nimekuja kukuona nilipolazwa ulikuwa mwema, sijui kati ya wote wewe ndio unajali, yaani wapo kibao tu wengine wajawazito wakijifungua ndio wanaanza sasa yaani ni two sided!!!
Halafu na kuna wanaojilengesha kabisa yaani. Kama mwanamke akiwa hana hela ya nyama anajichekelesha kwa muuza bucha yeye afanyaje? As long as sio minor, wacha atumie mwili wake apendavyo.
kuna watu wanajua kujigonga hadi aibu aisee.
sheeeeee! Ndo maana kule masaini wanamke haruhusiwi kuingia kwa ndakitari menyewe menyewe! Nasindikisa na ugonja mwanamme naelesea!