Wazabanga kuku JF-Expert Member Dec 13, 2016 264 378 Feb 22, 2017 #1 Hivi hapa duniani kati ya mapenzi na siasa kipi kinaisumbua sana duniani kwa sasa!??
LUBEDE JF-Expert Member May 7, 2013 4,320 6,677 Feb 22, 2017 #2 aisee kweli wewe ni KUKU,maswali yako yamekaa ki`KUKU KUKU!
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 41,759 72,732 Feb 22, 2017 #4 Mkuu, katika dunia watu si wengi wafanyao siasa ila wengi huishi mapenzi. Sijui unaandika mkuu?