Kusema wewe ni wa mjini sana au sio??
Hivi wewe unadhani mapenzi nikwenda Mliman city? Au unadhani mapenzi ni kula icecream! Poleeeeeeeee
Vijjini kila kitu ni real
nywele real
ugali real
harufu real...maji ni pure ya mto...
hakuna madawa wala sumu za viwandani