Ivi kwanza ushajiuliza huyo uliepotezana nae mda wte huo alikuwa anamaisha yap?
Unaweza ukakurupuka ulipotilizwa kumbe unakimbilia moto kwa ujinga kua bado mnapendana
Kulikua na wimbo Enzi za zamani una maneno haya, " nimeachwa na mume wangu , nimekwenda kwa rehani eeeee baada ya muda si mrefu kasema niondoke sina tabia nzuri eeee". Sijui kuna ukweli kwenye huu wimbo
Nakumbuka maneno ya lara 1marriage is a highly an hypocrisy institution
The girl was married because wanted to get married she forgot wanting to get married isn't the reason to get married