Hapo sawa nitakuwa auditor.
ha ha ha we mtoto unafikiriaga fedha tu (auditor) hembu rekebisha iwe Editor
Chanzo cha mauaji HAWA, pressure HAWA, ujambazi HAWA, kila unapoenda unakutana na kina HAWA, mateso yote ya mwanaume ni kwa ajili ya HAWA...sijui kwanini HAWA waliitwa HAWA!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums[/QUOT watatuua
hahahhah u made my noon..Kabla hujaanza kutukanwa humu naomba niulize je huyo mlopotezana mawasiliano ameshakulala ukiwa na Huyo wa Sasa?
Ee Mungu kizazi hiki kinaangamia kwa kukosa maarifa........
. Wanawake wengne yaan akili zipo kwenye hedhi kadri unavyomwaga dam ya hedhi ndvyo akili znamwagika.
Nipo kwenye ndoa kwa miaka 3 sasa na nimefanikiwa kuzaa mtoto mmoja.
Lakini kabla sijaolewa nilikuwa na mchumba aliyehitaji kunioa ila tulipotezaga mawasiliano miaka mingi sana.
Tatizo linalosababisha niombe ushauri ni huyu mchumba wangu wa zamani maana kwa sasa amerudi, kusema kweli bado nampenda sana na yeye pia amesema ananipenda anataka niombe talaka kwa huyu mume wangu wa sasa ili tuweze kuoana.
Huyu mume wangu wa sasa nilikubali tu kuolewa naye kwakuwa anajiweza na nilichoka kukaa nyumbani, ila yeye anaonesha ananipenda kweli.
Naombeni ushauri wenu niendelee tu na huyu mme japo simpendi au niende kwa mtu ninayempenda