John Gelas
Senior Member
- Apr 25, 2012
- 168
- 7
habarini naomba kuuliza kwasababu sina ukweli juu ya hili,,wanasema ukiwa umepata ajali ukavunjika mguu ukaenda hospital ukawekewa chuma hauruhusiwi kufanya mapenz mpaka upone,,swali ni je kuna ukweli juu ya hili?na lina madhara kitaalam au ni fikra potofu tuu,,naomben msaada juu ya hili,,,,,