chundaji
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 491
- 338
Asipoteze wakati kashakwambia "mala"" tatu....tatizo hapo n maumivu nenda kapime UTI ulete mrejesho...afu anaeleweka kama una nia ya kumsaidia
mtoto usipoteze bikira yako bure, iweke mpaka ndoa ,siku hizi ni zawadi adimu.
tafuta maisha,siku hizi mwanamke mwenye cash anaheshimika sana katika ndoa plus bikira,, haki amungu walahi,upewe nini

