Mapenzi tuambizaneni

Mapenzi tuambizaneni

enelisamwakapala

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
381
Reaction score
494
hivi unafanyaje kama ulikua na mpenzi wako alafu baada ya kuwa kwenye mahusiano mda mfupi tu na yee akadai penzi na wewe ujawahi kusex unaogopa sas akakuita mkutane gest ulipoenda ukagoma kusex ulipo ona unaumia na yeye akakulaumu ukafanya hivyo mala tatu kila mkikutana sasa huyo mwanaume akasema umpend wakati unampenda ila kusex tu ndo anahitaji kuvumilia afu yeye hataki na anakubwag a anh jamani wakati unampenda yani daa wadau ebu nisaidie iyo thread
 
Aisee,,sijakuelewa kabisa mkuu
mmmh shure yan unampenz we si boy afu huyo mpenz ukiitaji sex anagoma make penz lakini anakupenda kinoma na ameshakufanyia hivyo zaidi ya mala tatu na wewe ukamua kumuacha sas take photo kama ndo wew ni mwanamke na ukafanyiwa hivyo je unge fanyaje
 
Ngoja nikupe ushauri kwa herufi kubwa. Shika sana ushauri wangu.
USHAURI WANGU NDIO HUU NIMEUANDIKA KWA HERUFI KUBWA
 
mmmh shure yan unampenz we si boy afu huyo mpenz ukiitaji sex anagoma make penz lakini anakupenda kinoma na ameshakufanyia hivyo zaidi ya mala tatu na wewe ukamua kumuacha sas take photo kama ndo wew ni mwanamke na ukafanyiwa hivyo je unge fanyaje
enelisamwakapala, achana Na mambo ya wanawake kwa sasa Wekeza nguvu zako kwenye kutafuta pesa.
Hata Dangote ni tajiri mkubwa Na hana mwanamke
 
Wewe mtoa mada, kama unampenda Huyo mwanaume kwanini umnyime papuchi?
 
..daaa nimecheka Sana Sasa take photo. akimanisha "chukua picha"
 
We enelisa umeshazaa mtoto afu unatuzingua tu hapa kuandika kwenyewe hujui
 
Njoo kwangu mimi ndiye nijuaye namna ya ku-deal na watu kama nyie.
 
mmmh shure yan unampenz we si boy afu huyo mpenz ukiitaji sex anagoma make penz lakini anakupenda kinoma na ameshakufanyia hivyo zaidi ya mala tatu na wewe ukamua kumuacha sas take photo kama ndo wew ni mwanamke na ukafanyiwa hivyo je unge fanyaje
Hahaha
 
Back
Top Bottom