Punguza kumwazia kwanza,,jenga mazingira ya kumwona kama rafiki wa kawaida..Usiongozwe na hisia wala usizipe nafasi..Ukianzia hapa kama utamtafuna kirahisi sana.Mwache akutafute yeye,,akutumie sms yeye akija mfundishe msindikize karibia na jengo lake then rudi.Siku Ukijisikia amani Mwambie neno moja la mapenzi hata asipojibu kausha.utapata nafasi ya kumsoma vya kutosha na utaweza kuamua kwa usahihi.