Mapenzi sumu jamani

Sasa kama kusoma hujui hata picha nayo huoni?????
 
Reactions: BAK
Usionyeshe kuwa una haraka ya kumtafuna,.. Umia moyoni ukimsogeza sogeza kiaina... Ongeza sana urafiki wa kukutana mda mfupi mfupi,...sio kila mara na kila siku,.... Halafu makutano yenu yachague yawe kwenye maeneo tulivu saaana, na uonyeshe kujiamini saaana kila unachofanya mkiwa nae,.. Mnapokua mnasalimiana kwa kushikana, basi shika yako, usiwe na wasiwasi.... Unapomwangalia, basi uoneshe unajiamini hasa, hali ambayo mkiwa mnaachana, atakua anapata maswali mengi..... USIWE NA HARAKA!
 
Anza na urafiki kwanza kama huo wa kusoma nae mwisho wa siku mtazoeana na kua wapenz
 
Watu wa mwanza wanapenda sana kupewa jibu ayo mambo haknaga cku izi peleka gheto piga mzigo
 
Punguza kumwazia kwanza,,jenga mazingira ya kumwona kama rafiki wa kawaida..Usiongozwe na hisia wala usizipe nafasi..Ukianzia hapa kama utamtafuna kirahisi sana.Mwache akutafute yeye,,akutumie sms yeye akija mfundishe msindikize karibia na jengo lake then rudi.Siku Ukijisikia amani Mwambie neno moja la mapenzi hata asipojibu kausha.utapata nafasi ya kumsoma vya kutosha na utaweza kuamua kwa usahihi.
 
Usitumie nguvu kijana vuta oxygen relax,alafu nenda nae mdogomdogo anahitaji mapenz ya Kihind hind, huyo atakuelewa tu
 
mkuu endelea kutoa usaidizi wa ualimu maana huna namna nyingine....ukizidiwa piga punyeto tu..
 
Sup. na disco vinakukodolea macho kwa mpigo.
 
asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…